mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kwa utafiti wangu usio rasmi, Karibu asilimia 80 ya waumini wanaoingia makanisani na Misikitini pamoja na viongozi wengi wa DINI Hawana Imani na Mungu kama neno Mungu lilivyoshamili vinywani mwao.
Ni kawaida sana...
-Muumini kukutwa na hirizi.
-Janga au Kongwa kubwa na Endelevu linapotua kwa watu wa Imani na hasa likiwa endelevu kimibilio lao kuu huwa ni kwa waganga wanapochoka kumsubiri Mungu.
-Usishangae saana Yule unaedhani ndio shujaa wa Maombi au Imani ukamkuta Kazindika Biashara yake au Mahala anapoishi.
-Usishangae Utakaposhauriwa na watu wa Imani unaowaamini, " Kama maombi yameshindikana jaribu wataalamu ", kwa maana waganga kienyeji.
-Usishangae watu shupavu wa kidini waking'ang'ania imani za kijadi na Tamaduni zinazokinzana na Imani zao.
-Usishangae siku yule mchungaji au mzee wa kanisa ambae mo role model wako kusikia ameonekana kwa waganga au Kakutwa na vitu vya kishirikina.
Kwa ufuoi pamoja kuwa na watu weengi wanaomwamini Mungu na wapagani wachache, Weengi wa wanaojiita watu wa Mungu wanakutana na Wapagani kwenye mambo ya kiganga na Kishirikina.