Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,887
Ndiyo ukweli. ni kama kufananisha sahani na bakuli. ziwa victoria ni pana na shallow kama sahani wakati Tanganyika ni deep kama bakuli. hili limefanya tanganyika kuwa na km za ujazo za maji 18,900 wakati victoria inazo 2,750 tu. hata lake Nyasa ni kubwa kubwa kuliko victoria likiwa na km za ujazo 8,400. laiti tungeona umuhimu wa kutumia maji hayo kwenye kilimo tungeweza kulisha Africa nzima.