Hata kukimbia kwenye mashindano tunashindwa tu.Nini tupo juu?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
IMG_20170424_120517.jpg
 
Usisikitike Alphonce Simbu kushika nafasi ya tano, kajaribu sana kulingana na uwezo/kipaji chake. Mbio za marathon ni sayansi inayohusu miili yetu ilivyoumbwa na aina ya maisha tunayoyaishi.
Sayansi imegundua kwamba wakimbiaji wa kenya na ethiopia wamejaliwa aina fulani ya mwili unaohimili mbio.
Kwanza, miili yao ina uwezo wa kutumia hewa ya oksijeni vizuri zaidi kuliko miili ya watu wa mataifa mengine.
Pili, wakimbiaji wa kenya na ethiopia wana vinasaba vinavyowezesha mwili kuhimili mbio za nyika.
Tatu, wakimbiaji hao wamekulia kwenye maeneo ya mwinuko ambako hewa inaruhusu mbio, na mbio hizo walizianza tangu utotoni wakienda shule, dukani nk.
Sidhani kama Simbu alijaliwa vyote hivi, ila kwa kujikakamua ameweza. Hongera sana Simbu!
Bofya link kuelewa kwa nini kenya na ethiopia ni vinara wa mbio za nyika.
Kenyan and Ethiopian distance runners: what makes them so good? - PubMed - NCBI
 
Back
Top Bottom