Kiukweli inauma sana mtu hukatwi na bodi ya mikopo basi kaa kimya, 15% inatuuma sana. Kuna watu hawakatwi mpaka leo sijui wameachwa kwa makusudi au ndio bahati yao. Wanatupa wakati mgumu sana kazini maana hujisifia muda wote.
Utaskia mimi nilifutwa kwenye data base na siji katwa, tena mkiendelea ntapeleka cheki namba zenu na nyie muone uchungu mana inauma.
Tulipewa wote, wenzetu hamkatwi bado mbwembwe nyingi. Na nyie board muwe makini watu wengi hawakatwi. Anzisheni mpango wa kuwaletea wasiokatwa kwa dau nene mimi nitawaletea kumi, lazime washike adabu.
Kaeni kimya jamani ambao hamkatwi mstitukere.