Bongo movie waanza kulipa deni kwa Mkuu wa Mkoa

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Wamerudi locations kwa kasi,watanzania mtarajie mapinduzi makubwa na vitu vikali
kuwa mzalendo,support filamu za nyumbani
Shukrani nyingi kwa mheshimiwa DAB kwa kuhakikisha films za nje zinazuiwa na hongera pia kwa kamanda sirro kwa kusimamia vyema maandamano ya kulaani movie za nje
bongo bashite.jpg
 
Tatizo bongo muvi hawajui adui yao ni nani ndio maana wanahangaika. Tanzania wasomi niwachche sana wanaoweza kuangalia picha za kimombo, hivyo mauzo ya filamu za nje haikuwa nzuri miaka michache nyuma. Sasa adui wa bongo muvi na hawa wabunifu walioamua kuzitafsili za kimombo kwenda kiswahi, hapa sasa imemwezesha hadi mkulima wa Kitinko kuzielewa na kujua ubora wa muvi za nje na hili ndio lililoshusha hadhi ya bongo muvi si vinginevyo. Sasa hivi kila kona series. Hizi muvi za nje zisingetafsiliwa wengi wasingekuwa na namna ingebidi waangalie tu bongo muvi.
Tatizo lao kubwa bongo muvi hawaandai filamu zao kwa kuangalia umri wa wateja wao. Kumfurahisha mtoto na mtu mzima ni vitu viwili tofauti. Ukiangalia mandhari ya bongo muvi nyingi ni kwa ajili ya watoto.
Tatizo lingine bongo muvi hawabebwi na stori, wao wanahisi majina ndio yanayowabeba. Utakuta wamejaza mastaa kibao ktk muvi, ila stori sasa ndio utachoka.
Bongo muvi ili wasonge mbele inabidi wachukue maamuzi magumu ya kukubali kuanza moja ( ila hili ni gumu kwa mastaa kuanza upya), pia wakubali kushauriwa ( kuna msomi alijitolea kutafsiri bongo muvi bure wakakataa), pia waende wakasome chuo cha sanaa na maoni ya wadau wengine yatasaidia kuinua sanaa yetu ya uigizaji
 
Kolo...kolo..kolooo... Kolomijeeeeeee......kolo... Kolo.. Kolomijeeeeeeee... Napenda hako ka wimbo, halafu kwa chini jamaa anapiga gitaa.
 
Kweli umekosa cha kufikiria kujiendeleza, hadi unatunga uongo kwa kubadilisha alichoongelea mpendwa Kiongozi Jembe. Kama hauelewi aliyoyaongea na pia ukasoma maandishi hayo chini na hautaelewa basi wodi ileeeeeeee inakuhusu.

@paulmakonda - Biashara ya santuri feki za sinema ni biashara haramu kama ilivyo biashara haramu zingenezo. Ziwe sinema za nje au za ndani. Na kama zilivyo biashara nyingine nyingi haramu kama vile madawa ya kulevya, ukahaba etc, suala la kutoa ajira kwa vijana wengi haliwezi kuhalalisha uharamu wake. Kupiga marufuku biashara hiyo haramu sio tu kunalinda haki na maslahi ya wasanii wa ndani na nje lakini pia kunawezesha ujenzi wa taifa lenye kuamini katika utawala wa Sheria!. Tukutane JAMBO TANZANIA TBC(utaikuta youtube ya 22/4) - Instagram
 
Tatizo bongo muvi hawajui adui yao ni nani ndio maana wanahangaika. Tanzania wasomi niwachche sana wanaoweza kuangalia picha za kimombo, hivyo mauzo ya filamu za nje haikuwa nzuri miaka michache nyuma. Sasa adui wa bongo muvi na hawa wabunifu walioamua kuzitafsili za kimombo kwenda kiswahi, hapa sasa imemwezesha hadi mkulima wa Kitinko kuzielewa na kujua ubora wa muvi za nje na hili ndio lililoshusha hadhi ya bongo muvi si vinginevyo. Sasa hivi kila kona series. Hizi muvi za nje zisingetafsiliwa wengi wasingekuwa na namna ingebidi waangalie tu bongo muvi.
Tatizo lao kubwa bongo muvi hawaandai filamu zao kwa kuangalia umri wa wateja wao. Kumfurahisha mtoto na mtu mzima ni vitu viwili tofauti. Ukiangalia mandhari ya bongo muvi nyingi ni kwa ajili ya watoto.
Tatizo lingine bongo muvi hawabebwi na stori, wao wanahisi majina ndio yanayowabeba. Utakuta wamejaza mastaa kibao ktk muvi, ila stori sasa ndio utachoka.
Bongo muvi ili wasonge mbele inabidi wachukue maamuzi magumu ya kukubali kuanza moja ( ila hili ni gumu kwa mastaa kuanza upya), pia wakubali kushauriwa ( kuna msomi alijitolea kutafsiri bongo muvi bure wakakataa), pia waende wakasome chuo cha sanaa na maoni ya wadau
wengine yatasaidia kuinua sanaa yetu ya uigizaji

Sijawahi kuona kuona kingereza kibovu kama kile cha kwenye subtitles za bongo movie mtu huyo huyo mmoja anataka director,muigizaji,muandika script at the same time atafsiri script kwa kingereza wakati ni bashite wa kingereza
 
..
@paulmakonda - Biashara ya santuri feki za sinema ni biashara haramu kama ilivyo biashara haramu zingenezo. Ziwe sinema za nje au za ndani. Na kama zilivyo biashara nyingine nyingi haramu kama vile madawa ya kulevya, ukahaba etc, suala la kutoa ajira kwa vijana wengi haliwezi kuhalalisha uharamu wake. Kupiga marufuku biashara hiyo haramu sio tu kunalinda haki na maslahi ya wasanii wa ndani na nje lakini pia kunawezesha ujenzi wa taifa lenye kuamini katika utawala wa Sheria!. Tukutane JAMBO TANZANIA TBC(utaikuta youtube ya 22/4) - Instagram
BTLBOe0lqKm.jpg
 
Back
Top Bottom