Serikali ya awamu ya tano kweli ni ya wanyonge. Ule msemo wa wataishi kama mashetani sasa unafanya kazi kwelikweli. Wanyonge tunafarijika kwani zamani tulikuwa tunasononeka sana majamaa yakila...
Ndugu zangu Watanzania wenzangu, leo naomba niweke sawa juu ya Padre Pio wa Pietrecina, Italia na matumizi ya Jina Pio katika maisha yangu (Deogratius Pio Kisandu). Baba yangu mimi sio Pio bali...
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi wa kamati ya masaa 72 kwa kuipa simba pointi 3 na kuzirudisha kwa kagera
Akitangaza uamuzi huo katibu mkuu wa TFF selestine mwesigwa...
Heshima kubwa naiwe juu yenu mabibi na mabwana!!Kwa heshima na taadhima najitokeza hapa jukwaani,kutoa ombi lifuatalo.
Vijana wengi wa kitanzania tumekuwa tukilalamika kuwa tuna idea ama project...
Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumbani, kama kawaida yangu nilikua nimelewa chakari, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni baada ya kumtukana mke wangu na kuwaambia wote waende...
Wakuu, poleni na majukumu.
Naomba kujua kama kuna rubani mtanzania ambaye anarusha ndege kubwa za anga la kimataifa mfano Qatar, Emirates, Singapore, Bombardier nk kwenda nje mfano US, UK, Asia...
Jamani,kweli huyu Mzee ccm tayari wameshamjaza mimba,kwa mambo anayofanya kwa kutumiwa na ccm kuivuruga CUF,yaani huyu Mzee heshima take mbele ya jamii Kwisha habari yake.yaani anaitwa profesa...
Namshukuru Muumba pia naishukuru serikali ya Tanzania nimepata ajira mkoani Arusha!
Ndugu zangu nahitaji kusafirisha vyombo yaani kitanda kodoro friji kabati TV Gesi kooker n.k wapi naweza pata...
Kamati ya Maadili ya TFF imemsimamisha Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa muda wa miezi 12 na faini shilingi milioni 9...
Tarehe 06/04/217 Mdogo wangu alipokea Simu kutoka Mahakama Kuu Dsm ikimuulza kama yupo tayr Kurd kazn akasema yupo tayr, sasa amesubr Simu yakuambiwa lini aende kuriport lakn kimya zinaelekea wiki...
Tanzania gold producer Acacia Mining will have to review it's mining operations if the government's ban on gold and copper ore exports remains in place, senior executive said on Thursday.
Shares...
Wadau kuna habari zinasambaa kwa kasi sana mitandaoni kwamba sukari imeanza kupanda bei kutoka 2000 mpaka 2500...huku niliko sasa hivi inauzwa 2300 kutoka 2100.
Habarini za asb ndugu zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.