Sioni sababu ya mvua kunyesha Dar es Salaam

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Hivi kuna umuhimu wa mvua kunyesha Dsm kweli? Kwa kigezo cha maji ya kunywa yanaweza kutoka Ruvu yakahudumia wakazi wa Dsm.

Otherwise n uchafu na kero tupu mvua kunyesha Dsm. Hawalimi, hawapandi, hawafugi wala nn.Products zote wataletewa na watu wa mikoani.
 
Hii ni serikali na washirika wake ndiyo imeyataka haya yote, kwanini inashindwa kugawa mvua katika maeneo yenye uhitaji wa mvua? Unaletaje mvua eneo ambalo haihitajiki?
Dunia nzima Vitu kama hivi hufanywa na serikali iliyoshindwa tu, nathubutu kusema serikali imeshindwa kutunga na kusimamia sera zake ambazo zingeweza kujua kama Dar inahitajika mvua.

Nawasilisha.
 
Yaani hutaki mvua tena!!! Si juzi tu mlikuwa mnalalama kuwa hakuna mvua mara njaa!! Kweli Mungu anakazi kubwa!!
 
Mkuu Dar kuna mahala panaitwa Mwasonga huko wanalima.. Tena kuna jirani yangu kapanda mpunga safari hii... Mabondeni kwetu tunalima mboga mboga sa
 
Hii ni serikali na washirika wake ndiyo imeyataka haya yote, kwanini inashindwa kugawa mvua katika maeneo yenye uhitaji wa mvua? Unaletaje mvua eneo ambalo haihitajiki?
Dunia nzima Vitu kama hivi hufanywa na serikali iliyoshindwa tu, nathubutu kusema serikali imeshindwa kutunga na kusimamia sera zake ambazo zingeweza kujua kama Dar inahitajika mvua.

Nawasilisha.

Hivi viroba bado vipo mtaani??
 
Tunataka kumbikumbi wewe, acha inyeshe pia tutafute viwanja vizuri vya kujenga, maana wakati wa kiangazi unaweza uziwa eneo kumbe ni bwawa.
 
Kwa imani yangu mimi...unamkufuru Mungu,hapana kiumbe anaeweza kujudge jambo kama hili kwani kupitia hizi mvua kuna watu Mungu amewafanyia kama ndiyo mazingira yao ya kupata ridhki halali ya kila siku na hata kama wewe binadam huihitaji basi kuna mimea inaihitaji pia ku-balance hali ya hewa maana kuna wengine halijoto inawaathiri sasa hiki ndo kipindi chao cha kufurahi so mvua kuwepo kuna sababu zake.
Note:hii ni kwa mujibu wa imani yangu!!!
 
Hivi kuna umuhimu wa mvua kunyesha Dsm kweli? Kwa kigezo cha maji ya kunywa yanaweza kutoka Ruvu yakahudumia wakazi wa Dsm.

Otherwise n uchafu na kero tupu mvua kunyesha Dsm. Hawalimi, hawapandi, hawafugi wala nn.Products zote wataletewa na watu wa mikoani.
Mungu wangu
 
Back
Top Bottom