Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapenda rejea kichwa cha habar hapo juu. Yeyote anawajua wafadhili waliowema wanaomjua Mungu wenyenia ya dhati kabisa ya kuujenga ufalme wa Mungu hapa duniani.Tafadhali naomba links zao ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Hivi kwa nini ma-bank ambayo hayazalishi chochote (isipokuwa kuwapatia wateja wao huduma zisizo za viwango) nimatajiri kuliko taasisi zingine?Angalia Wells Fargo & Co., HSBC Holdings,JP Morgan...
6 Reactions
100 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu. Alifafanua kauli yake hiyo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi! Kuna rafiki yangu likuwa ameoa, toka June 2016.( mwaka mmoja) na mke wake amefariki leo. Wakati anaoa hakuweza kutoa mahali hata senti. Tatizo1. Wazazi wa marehemu wamekataa...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Tangu napata akili nimekuwa nasiki kuhusu huyu ndege (mbayuwayu) kuwa eti ukofanikiwa kumuua yaani tumboni hamna kitu chochote zaidi ya kukuta wadudu tuu kama kaoza fulani Nimejitahidi sana...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Sasa hao Manungayembe ndo akina nani?
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Hello guys wish you are fit! Watumishi wa umma kuna dalili ladhaa za kula msoto tena kwa mwaka wa fedha unaotarajiwa kuanza hivi punde, yaani 2017/18. Najua kwa mtumishi kuambiwa hivi hapendi...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Hii kitu imekaaje ndugu zangu? Nimewahi ona matajiri kadhaa, weupe sana kwenye mazungumzo. Mtu mweupeee mdomoni ukimsikiliza, Ila ana majumbaa, maviwanja Magari tena malori na magari kutembelea...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau mliosoma laugha ya Kiswahili namoba msaada! Nimeshindwa kutofatisha kati ya Elimu bule na Elimu bila malipo tofauti zake nini. Hakika nimeshindwa kumuelewa waziri wa tamisemi alivyonena...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nilibahatika kumfahamu Mwl. Frank verified user kwenye mada maalum ya magari... Lakini hivi karibuni nimeambiwa hatunaye tena na kifo chake kilitokana na kujinyonga/ kunyongwa? Mniwie radhi Kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi TIFUATIFUA mmefanya soka la Tanzania ni la wana kagera? Sawa mwakani sio mbali . Tukutane uchaguzi mwakani
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Nimekuwa nikiwaona Watu wengi sana pale wanapokuwa wamesimama na Kiongozi yoyote wa nchi hasa Marais katika nchi nyingi sana hapa duniani wakiwa wameweka mikono yao mbele tena wakiwa ' wapole ' na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf naomba mtu yeyote anayefahamu mahali ambako vitabu vya Carl Jung (C.G.Jung) Mfano kitabu kiitwacho Memories, Dreams, Reflection au kitabu chochote kilichoandikwa na huyu jamaa...
1 Reactions
1 Replies
773 Views
Sinza OPP N A LION HOTEL TAR 22-4-17 WAHI HARAKA UTAENDESHWA NA UNIV A. M KWA IDHINI YA UBALOZI WA MAREKANI
3 Reactions
27 Replies
6K Views
ule ujenzi wa reli ya umeme unaendeleaje wakuu? ikiwezekana tupieni na vipicha ili tuone jinsi ujenzi unavyoendelea, wengine tupo mbali halafu tuna shauku ya kuona ujenzi ukiendelea, baada ya mkuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutoka Ifakara matokeo ya uchaguzi mdogo wa kitongoji cha kisawila, mgombea wa ccm ndugu shaban sahangale ameshinda Kwa kura 557 dhidi ya 528 za mgombea wa chadema..... Kidumu chama cha mapinduzi
1 Reactions
6 Replies
1K Views
TFF
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Ndugu wana jamvi, amani iwe kwenu. Katika somasoma yangu ya magazeti nilikutana na habari hiyo ya mauzauza ya wasomi wanaodaiwa kuwa na kiwango cha juu cha usomi (PhD na Prof) mkoani Arusha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa uchunguzi Wa kina nilioufanya; pamoja na kwamba kila mtanzania ana haki ya kuteuliwa/ kuchaguliwa kuwa kiongozi Wa umma endapo katimiza masharti! Nimegundua kwamba watu ambao historia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom