Niliwahi kuleta hoja yangu kuhusu msitu huo ambao upo wilayani Kasulu lakini sijui kwanini hoja hiyo haikuchapishwa. Sielewi msimamo wa serikali kuhusiana na msitu huo ambao unaendelea kuharibiwa...
Habari wana JF popote mlipo..!
Naingia moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda kama heading inavyoeleza.Tujulishe Mada gani? ambayo ulileta hapa JamiiForums ili ijadiliwe na members ili...
Naangalia Clouds TV, na nipo Dodoma asubuhi hii.
Katika mapitio ya habari za magazeti, kuna dada na vijana wawili wenzake.
Kuna habari ya watoto wa shule kulawitiana wanaipitia toka gazeti moja...
Wakuu nawasalimu
Kijijini kwetu, mkoa wa kilimanjaro, ndani kabisa kijijini
Kwa miaka zaidi ya 20, tumekuwa tukipata maji safi ya bomba kabisaa, hayajawahi kukatika.
Safari hii kumetokea...
Taarifa toka Jeshi la Polisi
Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata magari 5 yaliyoibwa yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko Mbezi Msakuzi ( Machimbo) na...
Nimepatwa na maswali kiasi kuhusiana na baadhi ya watumishi ktk Sekta ya Afya kukumbwa ktk kashfa ya vyeti fake na kuondolewa ktk utumishi wa umma.
Hii Sekta ya Afya ni moja ya Sekta nyeti sana...
FISADI WA KUZALIWA
Ni kwa miaka mingi nchi ya Chamongo iligubikwa na wimbi zito la ufisadi na kujilimbikizia madaraka,tena kwa wale wasio na sifa ya kuwa na madaraka hayo.
Wasomi na...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameshiriki katika mdahalo wakati wa mkutano wa World Economic Forum for Africa unaofanyika Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo muhimu unaokutanisha...
Kwa ufupi
Mahojiano haya maarufu kwa jina la usaili wa ajira, yanaweza kufanywa kwa mazungumzo ya ana kwa ana au hata kwa maandishi kupitia taratibu kama mitihani.
By Elizabeth Edward, Mwananchi...
wanabodi
Kumekua na msg na audio zinazosambaa watu zikiwatahadharisha watu juu ya kundi la zungu jamani wanadai kuwa hawa jamaa wanaiba kwa nguvu za giza huku arusha
Jee kuna ukweli??
Wizara ya usafirishaji,wizara ya elimu,wizara ya mambo ya ndani wafanye jitihada wakishirikiana na wananchi wote. Si ajabu kukuta basi la kubeba wanafunzi likiwa na wanafunzi zaidi ya kiwango...
Nimesikia Leo ktk ripoti za vyombo vya habari kuwa utafiti unaonesha kuwa mikoa ya Dodoma na Singida unaongoza kwa udumavu wa akili kufika asilimia 32.8.
Na tatizo hilo limetokana na lishe duni...
Habari za wakati huu bandugu.
Ndugu zangu katika mtandao wetu pendwa wa Jf,binafsi mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu pamoja na kusikiliza speeches mbali mbali za motivational speakers.
Moja kati...
Jana nimepokea ujumbe kutoka Airtel wakiniambia wanitoza sh. 180 kama maitainance charges kwa kuwa sijatumia Airtel money. Hii imekaaje wakuu? Kwa uelewa wangu bank ndo zinatoza hii ada. Sijajua...
Mtu mmoja Aitwae Amri Chanjale (55), mkazi wa kitongji cha Makaravati katika Kijiji cha Umwe Kusini wilayani Rufiji ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
Tukio hilo limetokea jana saa...
MKAZI wa Mrito, kata ya Kemambo Nyamongo aliyefahamika kwa jina Chacha Magige (30) amehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kumkatakata kwa panga sehemu...
Bado kunawatumishi ambao wanamiliki vyeti visivyokua vyao, wamebahatika panga limewakosa kosa, kutokana na ukweli kuwa:
1. Wamiliki halali walikuwa watumishi wa serikali, lakini walishatangulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.