Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Edited
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Set Goals First list down all the goals that you want to accomplish. If you are not sure what you want in life, you are just bound to receive the unexpected. Nevertheless, bear in mind that goals...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SHANGHAI - Ndege ya kwanza ya abiria iliyojengwa nchini China kwa mara ya kwanza imefanyiwa majaribio kwa kuruka Ijumaa hii ya Mei 5,2017, jaribio hilo linatajwa kuwa ni hatua kubwa katika malengo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baba wa mbinguni mungu awe nanyi daima wapendwa wote muaminia uwepo wake na musio amin Mimi naomba kueleweshwa na kuondolewa utata kuhusu mungu na majina yake Je allah ni nani na ni nini, ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hili Taifa sasa hivi hakuna usawa kabisa! Juzi hapa kumeibuka sakata la vyeti fyeki, wananchi wa hali ya chini wamelia mpaka basi na hakuna wa kuwasikiliza. Lakini cha kushangaza tukaambiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zoezi la ufukuzaji wa wafanyakazi wenye vyeti feki vya secondary imenifanya nitafakari na kuona nibora nipate mawazo yenu wadau kuhusu jambo hili. Kinacho nishangaza hasa ni ukweli kuwa watu hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana wale waliokuwa hot kwenye lile song...wa miaka ile mtanielewa. Naomba kufahamu walipo niwatafute nifanye nao project.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe!!!!!!! Habar kwenu wana TRA na wanaJf. Mm ningependa kutoa maoni kuhusu, mfumo wa ukataji wa kodi ya PAYE badala ya kutumia PAYE calculatoy inayotumika sasa,,,,,,,Mngeweka tuu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepokea SMS kutoka INFO FASTJET RECEIPT REF FDT4WQ TOTAL PAID TZS 266000.00
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu, Kumekuwa na mtindo wa kurushiana mpira kati ya bodi ya mikopo na hichi chuo cha usafirishaji pale mikopo inapochelewa kupita kiasi au watu fulani kukosa bila sababu za...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo wanataka watu waliomaliza kulipa mikopo kwenda ofisi zao kuhakiki? Ni ni maana yake? Kwani hamuwezi kupitia Benki akaunti yenu (NMB) na kuhakiki kwa kutumia wahasibu wa Serikali...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Rais, kwanini umewahurumia wenye vyeti feki? Hawa ndio waliotibu wagonjwa hospitali kwa makosa wakafa. Haondio waliofundisha watoto wetu wakafeli. Hao ndio waliokagua mabasi yaendayo mikoani...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani mi naomba kuuliza hizi bei za bidhaa ni kote zimepanda au ni huku tu??? Miezi michache iliyopita sukari ilipanda bei na kufikia 2300 @kg tukaambiwa wafanyabiashara wameficha sukari.Sasa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kanunua za Mil 10 za kwake na za Mil 10 za Mkewe anasema waziri wa fedha pia atanunua. Waziri mpango anawaambia mnunue kwa ajili ya watoto wenu CHANZO CHANNEL TEN
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Tv Tumaini ni Tv ya Roman Catholic na wakatoliki wameichangia sana ila kinacho nishangaza wala aieleweli aina vipindi ipo ovyo ovyo tu au awana wataalamu si watangaze watu wakajitolee
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ule msemo wa ''Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa'' umedhihirika sana wakati wa utawala wa huyu mzee. SIJUI KWA NINI? Brothers and sisters saizi Misikitini watu nyomi, Makanisani nyomi...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Back
Top Bottom