Muda wa kujitegemea umefika kwa wale wa 1980s

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,382
29,637
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's

Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28

Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!

Bado unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!

Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.

Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...

MAISHA YA UTEGEMEZI NI JANGA ZAIDI YA DAWA ZA KULEVYA!!!
 
Ndoa si suala la kutimiza wajibu wa kuona,ni taasisi nyeti yenye majukumu ambayo wengi yanawashinda.Umri si kigezo cha kuoa/kuolewa kwa mwenye akili.Usiamue kuolewa/kuoa kwa kusukumwa na umri kuwa mkubwa... WAFWAA.. Gegedaneni kwa furaha,bila vikwazo vya kuombana hovyo hovyo vihela,hakika huo ndio utakua mwanzo wa ndoa yenye amani.Ni ushauri tu.
 
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's

Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28

Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!

Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!

Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.

Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...

KUTOKUOA/KUOLEWA NI JANGA ZAIDI YA DAWA ZA KULEVYA!!!
tehe...tehe..tehe...!umenichekesha sana aisee.mtu wa miaka hyo bado yuko hm tu.mengine hayanaga haya utasikia asubuhi BABA NAOMBA HELA YA VITUMBUA.. khaa jitu zima linaomba pesa ya vitumbua kwa baba.
 
Ndoa si suala la kutimiza wajibu wa kuona,ni taasisi nyeti yenye majukumu ambayo wengi yanawashinda.Umri si kigezo cha kuoa/kuolewa kwa mwenye akili.Usiamue kuolewa/kuoa kwa kusukumwa na umri kuwa mkubwa... WAFWAA.. Gegedaneni kwa furaha,bila vikwazo vya kuombana hovyo hovyo vihela,hakika huo ndio utakua mwanzo wa ndoa yenye amani.Ni ushauri tu.
Cha msingi kujitegemea mkuu.
 
Cephalocaudo kama jina lako lilivyo, Hivi wewe itakuwa umezaliwa familia maskini wa kutupwa, Mtoto anazaliwa mzazi anawaza lini ataenda kujitegemea ili amsaidie, Wahindi hapa kwetu ni matajiri sana na watoto wao wanapesa sana wanaishi pamoja na wamekuajiri wewe unayejitegemea kusaidia wazazi uliowakimbia kwa umaskini wao, Mtu mwenye pesa na mali hana mawazo kama yako, Kama ulitoka kwenu kumkimbia mzazi halafu unarudi akifariki wewe ni Tatizo, Always maskini anawaza kuwa na watoto wengi na kuoa, Utazidi kusomesha watoto wako kwenye shule za laki mbili za Kata kwa mawazo hayo
 
Cha msingi kujitegemea mkuu.
Hapo ni sahihi,kukaa na mtoto wa zaidi ya miaka 25 asie jishughulisha ni uzembe wa mzazi. Ila kumruhusu kuoa mtu wa aina hiyo ni sawa na kujiunga na chama cha upinzani na unataka ugombee ubunge jimbo la Kawe.
 
.. Gegedaneni kwa furaha,bila vikwazo vya kuombana hovyo hovyo vihela,hakika huo ndio utakua mwanzo wa ndoa yenye amani.Ni ushauri tu.
Kugegedana kabla ya Ndoa huo ni Uzinzi.... Uzinzi ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu Kutoka 20:14. Kama unataka kugegedana basi Oa, ili upate baraka za Mwenyezi Mungu...
 
Cephalocaudo kama jina lako lilivyo, Hivi wewe itakuwa umezaliwa familia kapuku Sana au maskini wa kutupwa, Mtoto anazaliwa mzazi anawaza lini ataenda kujitegemea ili amsaidie, Wahindi hapa kwetu ni matajiri sana na watoto wao wanapesa sana wanaishi pamoja na wamekuajiri wewe kapuku unayejitegemea kusaidia wazazi uliowakimbia kwa umaskini wao, Mtu mwenye pesa na mali hana mawazo kama yako, Kama ulitoka kwenu kumkimbia mzazi halafu unarudi akifariki wewe ni Tatizo, Always maskini anawaza kuwa na watoto wengi na kuoa, Utazidi kusomesha watoto wako kwenye shule za laki mbili za Kata kwa mawazo hayo
Hili povu sio bure,kuna namna ila pole sana mkuu
 
Mkuu naona Dawa ya mleta mada imekuingia kisawasawa aisee! Anyway mleta mada ametupa jiwe gizani.....teh! teh!
 
Kugegedana kabla ya Ndoa huo ni Uzinzi.... Uzinzi ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu Kutoka 20:14. Kama unataka kugegedana basi Oa, ili upate baraka za Mwenyezi Mungu...
Sawa mkuu,ahsante kwa mahubiri ila kwa sisi wengine hako kadhambi hakakwepeki.Ikiwezekana huko mliko kakipengele ka uzinzi kukafanyia marekebisho fanyeni ili adhabu ipungue (natania tu...)
 
Back
Top Bottom