mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,097
Bado kunawatumishi ambao wanamiliki vyeti visivyokua vyao, wamebahatika panga limewakosa kosa, kutokana na ukweli kuwa:
1. Wamiliki halali walikuwa watumishi wa serikali, lakini walishatangulia mbele za haki, ambao labda wangekuwepo vyeti vingegongana.
2. Wenye vyeti halali sio watumishi wa Serikali, yaani wana shughuli zao Binafsi.
3. Wengine vyeti vyao wana share na wafanyakazi wa sekta binafsi, yaani mf. voda, tigo, nk. na vikihitajika wanajulishana yule aliye vihifadhi anampa jamaa akaonyeshe.
Wazo la kuweka picha kwenye vyeti lililofanywa na serikali ya Awamu ya Nne lilikuwa zuri sana inamaana walisha shtuka, sema serikali ya Awamu ya Tano yenyewe imeenda mbali zaidi japo bado haitaweza kuwaondoa wote kutokana na sababu nilizo ziainisha hapo juu.
Nashkuru.