MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amenunua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zenye thamani ya sh. milioni 10 pamoja na nyingine za sh. milioni 10 kwa ajili ya mke wake, Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu...
FISADI WA KUZALIWA
Ni kwa miaka mingi nchi ya Chamongo iligubikwa na wimbi zito la ufisadi na kujilimbikizia madaraka,tena kwa wale wasio na sifa ya kuwa na madaraka hayo.
Wasomi na...
Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
Habari wana jamvi
Leo nimepata muda wa kupitia pitia Google Maps kuangalia maeneo tofauti tofatuti.
Lakin nilipofika katika ziwa nyasa vitu vya kushtusha naviona mbele ya macho yangu.kwa kifupi...
Mfalme Salman Bin Abdul-azizi ametoa msaada wa tende tani mia 100 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni sadaka kwaajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Akikabidhi msaada huo Naibu Balozi...
Ndugu wadau,
Kama mnavyojuwa utamaduni wetu wa TZ pale mmoja wetu anapokuwa mgojwa kunakuwa na utaratibu wa kupeana pole hasa inapokuwa ni kiongozi mkuu kama Comredi Kinana na Vyombo vya Habari...
Hali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri....
Namkuu ....
Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu...
Akiwa katika MKUTANO wa hadhara wa kampeni aliwatangazia wananchi kuhusu tukio hilo.
Amenipa Picha kuwa tuko pamoja anafaa kuungwa mkono katika kampeni yake arudi ofisini japo ana KAZI ngumu dhidi...
Hivi mfano nikitaka kurudi reverse katika Highways sheria inanielekeza nipite upande gani wa barabara? Naombeni msaada kuna gari imeharibika upande wa gear inakubali reverse tu na inatakiwa...
jamani wana jf kuna jirani yangu huyo ananichukia bila sababu yaani hata sijui ni kitu gani nilichowahi kumkoseaa ,kuna muda niliwahi kumtafuta nizungumze nae kama jirani yangu kwa nijue...
Muendelee kuwa kazini mpaka pale waajiri wenu watakapowaandikia barua za kuwafukuza kazi. Je wakurugenzi mudà utapofika watakubali kuandika barua hizo au watasema agizo limeshatolewa na mkuu wa nchi.
Hii nchi inawatu wa ajabu sana, kila siku inaweka mazingira kandamizi kwa sekta binafsi. Inakuwaje hospital kama Bugando KCMC zinapewa ruzuku ya serikali halafu shule binafsi zinazotoa huduma kwa...
Naomba nishangae kidogo
Eti mtu anatumia cheti cha mtu anajigamba? Huu ni uwendawazimu..nadhani watanzania tunacheza na sheria. Ina maana watu hawajui kutumia cheti cha mtu ni kosa? Hivi mtu eti...
Niliwahi kuleta hoja yangu kuhusu msitu huo ambao upo wilayani Kasulu lakini sijui kwanini hoja hiyo haikuchapishwa. Sielewi msimamo wa serikali kuhusiana na msitu huo ambao unaendelea kuharibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.