Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimetafakari na kutathmini tangu utawala wa awamu ya 5 ushike madaraka kila operation inayofanywa na serikali hii ikiongozwa na Rais Magufuli imekuwa ikiacha impact mbaya kwa wananchi wa hali ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, naomba kwenye majina yaliyotangazwa Jana kwa wale waliotumia cheti kimoja ayatume.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Maelezo ktk screenshot hapo juu yanasema huyo jamaa "kampiga" mmama wa watu mimilioni ya dorali kwa sasa anatafutwa na polisi wa mayville north Dakota,USA. Hii ni picha yake nyingine akiwa na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Taarifa zilizothibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo zimeeleza kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kifuru wilayani Rufiji, Hemed Njiwa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani huku kwetu kati Halmashauri yetu watumishi tumekua tukilazimishwa kuchangia michango kwa ajili ya MWENGE. Ninachouliza huu utaratibu ni wa nchi nzima au ni ubunifu tuu wa great thinkers wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ubalozi wa Umoja wa Ulaya (Tanzania) leo umezungumzia changamoto zinazovikumba vyombo vya habari nchini. Balozi Roeland Van de Geer amesema uhuru wa kujieleza ni haki ya msingi ya wananchi na...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Ajali kati ya lori na fuso imetokea eneo la Tabata Mwananchi, watu 2 wamepoteza maisha, Polisi,Zimamoto wanaendelea kufanya uokoaji. Ajali imetokea leo saa tisa usiku. Dereva wa fuso aliligonga...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia kutekelezwa kwa agizo la mkuu wa nchi la kuwaruhusu TANESCO Kukata huduma za umeme katika taasisi za umma zenye madeni sugu ambapo kule Arusha Jeshi la Polisi na...
1 Reactions
4 Replies
935 Views
Hbr Za Asubuhi Jf.Kaka Amezungumza Na Bosi Wake Huku Akiomba Jambo Hilo Lisiende Mbali Wamekubaliana Kuwa Bosi Atawatunza Watoto Wote Wawili Pia Kaahidi Kuwasomesha Lkn Tatizo Lipo Kwa...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Hata mimi nikiitwa kichaa na mfanyakazi mwenzangu aliyechini yangu kwenye kampuni ninayoiongoza au shirika lazima nimpe likizo ya ghafla au kumsimamisha. Je, nyinyi mngefanya nini?
0 Reactions
1 Replies
798 Views
FUNZO KUBWA SANA HILI Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold...
8 Reactions
31 Replies
6K Views
Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa...
32 Reactions
138 Replies
21K Views
Habari za asubuhi,naomba tupeane ushauri kwa sisi vijana tunaonza maisha kwenye mpangalio wa chakula,maana naona vyakula vimepanda bei sana kuanzia mchele,sembe na sukari sasa ni bora niwe napika...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Edited
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Set Goals First list down all the goals that you want to accomplish. If you are not sure what you want in life, you are just bound to receive the unexpected. Nevertheless, bear in mind that goals...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SHANGHAI - Ndege ya kwanza ya abiria iliyojengwa nchini China kwa mara ya kwanza imefanyiwa majaribio kwa kuruka Ijumaa hii ya Mei 5,2017, jaribio hilo linatajwa kuwa ni hatua kubwa katika malengo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baba wa mbinguni mungu awe nanyi daima wapendwa wote muaminia uwepo wake na musio amin Mimi naomba kueleweshwa na kuondolewa utata kuhusu mungu na majina yake Je allah ni nani na ni nini, ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom