Is it possible in Africa especially Tanzania?

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
17,624
47,246
Habari za wakati huu bandugu.

Ndugu zangu katika mtandao wetu pendwa wa Jf,binafsi mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu pamoja na kusikiliza speeches mbali mbali za motivational speakers.

Moja kati ya vitu ambavyo vipo common kwa great authors and motivational speakers ni jinsi walivyoweza kuturn their lives from worst to good or even better.

Mfano,late Jim Rohn ambaye ni moja kati ya motivational speaker nnayemsikiliza mara nyingi (may his soul rest in peace) anasema alianza kufanya kazi akiwa na miaka 19. Lakini mpaka anafikisha miaka 25 hakuwa na hela hata kidogo katika account yake,hakuweza kumudu mahitaji yote muhimu na siku zote alikuwa akiilaumu serikali na watu wanaomzunguka kwa yeye kuwa na maisha magumu. Ila akiwa na miaka 25 aliweza kukutana na mtu ( ambaye yeye anam"refer" kama mwalimu wake) ambaye aliweza kumfundisha vitu vingi na jinsi ya kuyabadilisha maisha yake. Huyu mtu alimpa Jim Rohn mwongozo mkubwa sana kiasi kwamba miaka 6 baadae (i mean Jim akiwa na miaka 31) alikuwa milionea.

Pia mtu kama Napoleon Hill ( author wa Think and Grow Rich). Katika hiki kitabu,1st chapter kabisa anazungumzia about "The Man Who "Thought " His Way Into Partnership with Thomas A. Edison"

Hapa alikuwa anasimulia kuhusu jamaa ambaye alikuwa masikini kabisa lakini alikuwa na ndoto za kuwa partner wa Edison katika biashara (Edison ni mgunduzi wa electric bulb na motion picture camera pia alikuwa mfanya biashara mkubwa sana). Edison kwa mara ya kwanza kukutana na huyu jamaa alafu kusikia lengo lake,hata yeye alishangaa sana. Lakini pamoja na gape katika life status zao,huyu masikini mwisho wa siku alifanikiwa kuwa partner wa Edison.

Mifano ya hivi iko mingi sana,ukimsikiliza Les Brown,Robin Sharma n.k

Katika mifano yote hii,kitu ambacho kipo common ni kwa mtu tajiri kumshika mkono mtu masikini na kumfanya walau apige hatua katika maisha. Kitu hiki ndio kimenipelekea kuandika uzi huu baada ya kijiuliza swali, Is it possible kwa upande huu wetu?(Africa especially Tanzania?)

Binafsi nimekutana na kesi nyingi ambazo mtu anaweza kukusaidia mfano buku 5 tu ya kula,alafu baada ya siku kadhaa bahati mbaya ukampita town kwenye mkusanyiko wa watu bila kumpa Hi,basi ataizungumzia sana ile buku 5 yake.

Au mwingine akikupiga tafu basi lazima huo msaada lazima aupigie promo kwa watu mbali mbali.

-->> Is it possible kwa mmachinga kuinteract in any way na let say Mengi alafu kukawa na mutual benefits financially bila mmoja kuwa ngazi ya mwingine?

Achana na kesi ya huyu kutoa ajira,na yule kuajiriwa.

Huku kwetu yawezekana kumshika mkono mtu ambaye huna blood relation naye lakini anania ya kufika mbali na anahitaji msaada wako??

WILL IT BE POSSIBLE?
 
Inawezekana mkuu,kitakachodetermine ni jinsi gani umejiwasilisha kwake,juhudi zako katika kujijengea uaminifu,na ukweli wa kile unachohitaji kwake,na je unaonekana kuwa na dhamira halisi yaani usiwe mbabaifu.
 
Kama hoja yako ya msingi ilivo, kuwa is it possible in Africa specifically Tanzania. Mi nafikiri kwa huku kwetu not possible at all, kwa sababu hizi:
1. Matajiri wengi wa huku kwetu hawana utaratibu wa kufanya interaction na hawa tunaowarefer kama masikini..ukimwona ameinteract bs it's for his/her own interest.
2. Matajiri wengi wa huku kwetu wao wanaona fahari sana kwa wao tuu kila siku kusaidia vijisent vya kula na vimijisaada vingine vinavyofanana na hivyo.
3. Matajiri wa huku kwetu bhana wanapenda sana kuabudiwa
4..ntarudi badae tena kuendelea
 
It is possible popote. Lakini huyo maskini LAZIMA awe na ideas za kumfanya tajiri aweze ku-appreciate kwamba kama huyo maskini atapata fursa atapata maendeleo. Sasa wewe do you have a business idea itakayomfanya mtu kama Mengi akuone unafaa kuwa promoted?
 
Nimeshuhudia watu kadhaa wenye ideas ambao walijaribu kuziwasilisha sehemu,lakini mwisho wa siku waliishia kupigwa chini lakini ideas zao zilichukuliwa.
 
Rudi tujadili mkuu. Matabaka yapo ulimwenguni kote ila unapokuja huku kwetu hali inakuwa ni tete zaidi.
 
It is possible popote. Lakini huyo maskini LAZIMA awe na ideas za kumfanya tajiri aweze ku-appreciate kwamba kama huyo maskini atapata fursa atapata maendeleo. Sasa wewe do you have a business idea itakayomfanya mtu kama Mengi akuone unafaa kuwa promoted?
Nimeshuhudia watu kadhaa wenye ideas ambao walijaribu kuziwasilisha sehemu,lakini mwisho wa siku waliishia kupigwa chini lakini ideas zao zilichukuliwa.
 
Habari za wakati huu bandugu.

Ndugu zangu katika mtandao wetu pendwa wa Jf,binafsi mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu pamoja na kusikiliza speeches mbali mbali za motivational speakers.

Moja kati ya vitu ambavyo vipo common kwa great authors and motivational speakers ni jinsi walivyoweza kuturn their lives from worst to good or even better.

Mfano,late Jim Rohn ambaye ni moja kati ya motivational speaker nnayemsikiliza mara nyingi (may his soul rest in peace) anasema alianza kufanya kazi akiwa na miaka 19. Lakini mpaka anafikisha miaka 25 hakuwa na hela hata kidogo katika account yake,hakuweza kumudu mahitaji yote muhimu na siku zote alikuwa akiilaumu serikali na watu wanaomzunguka kwa yeye kuwa na maisha magumu. Ila akiwa na miaka 25 aliweza kukutana na mtu ( ambaye yeye anam"refer" kama mwalimu wake) ambaye aliweza kumfundisha vitu vingi na jinsi ya kuyabadilisha maisha yake. Huyu mtu alimpa Jim Rohn mwongozo mkubwa sana kiasi kwamba miaka 6 baadae (i mean Jim akiwa na miaka 31) alikuwa milionea.

Pia mtu kama Napoleon Hill ( author wa Think and Grow Rich). Katika hiki kitabu,1st chapter kabisa anazungumzia about "The Man Who "Thought " His Way Into Partnership with Thomas A. Edison"

Hapa alikuwa anasimulia kuhusu jamaa ambaye alikuwa masikini kabisa lakini alikuwa na ndoto za kuwa partner wa Edison katika biashara (Edison ni mgunduzi wa electric bulb na motion picture camera pia alikuwa mfanya biashara mkubwa sana). Edison kwa mara ya kwanza kukutana na huyu jamaa alafu kusikia lengo lake,hata yeye alishangaa sana. Lakini pamoja na gape katika life status zao,huyu masikini mwisho wa siku alifanikiwa kuwa partner wa Edison.

Mifano ya hivi iko mingi sana,ukimsikiliza Les Brown,Robin Sharma n.k

Katika mifano yote hii,kitu ambacho kipo common ni kwa mtu tajiri kumshika mkono mtu masikini na kumfanya walau apige hatua katika maisha. Kitu hiki ndio kimenipelekea kuandika uzi huu baada ya kijiuliza swali, Is it possible kwa upande huu wetu?(Africa especially Tanzania?)

Binafsi nimekutana na kesi nyingi ambazo mtu anaweza kukusaidia mfano buku 5 tu ya kula,alafu baada ya siku kadhaa bahati mbaya ukampita town kwenye mkusanyiko wa watu bila kumpa Hi,basi ataizungumzia sana ile buku 5 yake.

Au mwingine akikupiga tafu basi lazima huo msaada lazima aupigie promo kwa watu mbali mbali.

-->> Is it possible kwa mmachinga kuinteract in any way na let say Mengi alafu kukawa na mutual benefits financially bila mmoja kuwa ngazi ya mwingine?

Achana na kesi ya huyu kutoa ajira,na yule kuajiriwa.

Huku kwetu yawezekana kumshika mkono mtu ambaye huna blood relation naye lakini anania ya kufika mbali na anahitaji msaada wako??

WILL IT BE POSSIBLE?
Mkuu umeongea jambo la maana sana.

Matajiri wengi sana wa nchi zilizoendelea ni "Philanthropist" nafikiri nipo sahihi katika neno hilo

Kifupi ni kwamba wana UPENDO kwa watu wengine...wawe wazungu wenzao au watu wa races zingine.

Watu weusi matajiri ni WACHOYO na WENYE CHUKI NA DHARAU.

Hata kama hao wazungu hawahudhurii kanisani, Mungu anawabariki tu kwa mioyo yao misafi.

Binafsi ni msomaji wa vitabu pia, Robert Kiyosaki na Warren Buffet ni mifano mizuri pia.
 
Akili,hekima ufahamu,kipawa,ujasiri.
Afya
maskini waTz bahati sana amepungiwa nyenzo hizi.

Ni muoga,si mwerevu hawezi kujichanganya .anajitenga kabla hajatengwa.
na bado ale sahani moja na matajiri.

haiwezekani.
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana.

Matajiri wengi sana wa nchi zilizoendelea ni "Philanthropist" nafikiri nipo sahihi katika neno hilo

Kifupi ni kwamba wana UPENDO kwa watu wengine...wawe wazungu wenzao au watu wa races zingine.

Watu weusi matajiri ni WACHOYO na WENYE CHUKI NA DHARAU.

Hata kama hao wazungu hawahudhurii kanisani, Mungu anawabariki tu kwa mioyo yao misafi.

Binafsi ni msomaji wa vitabu pia, Robert Kiyosaki na Warren Buffet ni mifano mizuri pia.
Nashkuru mkuu kwa kuona umaana wa bandiko ili. Kwa mtazamk wako,nini kinawatofautisha matajiri wa matafaita yaliyoendelea na matajiri wa huku kwetu?
 
Back
Top Bottom