Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Vichwa vingine vipo kwa ajili ya kuvalia helmet.
Hahhahahaha labda kichwa kinasaidia kuhifadhi macho mkuu manaake hayana pa kukaaVichwa vingine vipo kwa ajili ya kuvalia helmet.
Aaaaaah!! Labda vichwa ni kwa ajili ya kufugia nywele tu!?Hahhahahaha labda kichwa kinasaidia kuhifadhi macho mkuu manaake hayana pa kukaa
Mbona kama kiswahili ya mkenye venye vile ilivyotafsiriwa
Ana vyeti mpaka vingine walimzuia kusubmit wakasema alivyotoa vinatosha.Huyu ndio unakuta kabaki wanaojua wamepigwa chini