masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Naangalia Clouds TV, na nipo Dodoma asubuhi hii.
Katika mapitio ya habari za magazeti, kuna dada na vijana wawili wenzake.
Kuna habari ya watoto wa shule kulawitiana wanaipitia toka gazeti moja.
Cha kushangaza kama si kusikitisha hii habari wanaifurahia sana na kuipamba as if ni ya kufurahisha.
Huyo dada anacheeeka utafikiri hiyo habari inampa ashki ya tendo lenyewe.
TCRA na Mwakyembe naomba muwachukulia hatuua hawa Clouds.
Badala ya kuisoma hiyo habari kwa kukemea tatizo la jamii wao wanalifurahia.
Clouds mmenikera!