Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Habari wana JF popote mlipo..!
Naingia moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda kama heading inavyoeleza.Tujulishe Mada gani? ambayo ulileta hapa JamiiForums ili ijadiliwe na members ili kupata michango tofauti tofauti ya mawazo, hatimaye ikakupa wakati mgumu sana kwenye kujibu maswali au kuitolea ufafanuzi kwa jinsi ulivyoileta.
Mimi kwangu ilikuwa thread ya Mkenya Kihiyo aongoza shule ya Kimataifa Dar es salaam. Aisee nilitamani Moderator aifute maana members walipuzilia mbali wakidai eti ni hayo majungu tu. Nilikasirika mno hadi nilitukana ilhali sio tabia yangu na siyo jambo jema. Thread ya kwako ipi iliyokuweka wakati mgumu..!?
Karibu sana..!