barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata magari 5 yaliyoibwa yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko Mbezi Msakuzi ( Machimbo) na mtuhumiwa amekiri kuhusika na wizi wa magari hayo.
Kwa wale waliowahi kuibiwa magari yao tafadhali fika kituo cha police Mbezi Luis kwa utambuzi.