Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za Jioni Tukiwa tunaona na kusikia Feki,Utata nk wa vyeti vya watanzania wenzeti naomba kupata ufafanuzi wa hii kitu. Candidate A na Candidate B. Ni wahitimu wa kidato cha nne mwaka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimejaribu kumbuka ile ajali ya MV Spice Na uzito wa coverage wa like tukio zito kwa Taifa kipindi kile. Media zetu wala hata updates tu za kila punde haikuwepo.. Leo tena vifo vya Watoto wetu...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima amemtaka Spika wa Bunge kuahirisha kikao cha Bunge siku ya kuaga miili ya watoto waliofariki kwa ajali ya jana. Amesema kama Rais wa Kenya...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
hebu fikirieni ndugu zangu kiwango cha faini wanazotupiga barabarani, tena siku hizi imefikia hatua ya kulazimisha makosa au kuvizia kwa madhumuni tu ya kuingiza pesa, najiuliza hii pesa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wakuu, Kabla ya yote, natoa pole kwa familia, Ndugu na marafiki waliofikwa na msiba huu katika ajari ya Bus. Lakini pia nitoe pongezi kwa watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine...
12 Reactions
69 Replies
14K Views
Palikuwapo na muuza sambusa mashuhuri jijini Arusha. Mgahawa wake ulipakana na kampuni moja kubwa. Kutoka na ladha murua ya sambusa zake, wafanyakazi wengi, kama si wote katika kampuni anayopakana...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
huyu dogo badala ya kuamkia kanisani yeye anaamkia kuiba kuku sasa makubwa yamemkuta
1 Reactions
37 Replies
4K Views
School bus hujaza watoto bila kuzingatia sheria za usalama barabarani na hii imekuwa ni mazoea.Chonde chonde afande Mpinga simamia hili kwa ajili ya usalama wa watoto wetu, ahsante!
0 Reactions
5 Replies
849 Views
Nipo mwanza naitaji cover case ya nyuma ya cm ya iphone 5 desine Kama hizo Hapo bei ni biashara 0753358283 pia ningependa kwa wakaz Wa mwanza kuepusha utumaji kwa walio mikoan tuma picha whtspp...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu majibishano na mipasho ambayo anayejiita Askofu Gwajima na watu mbalimbali wanaotofautiana nae,a.k.a bifu, amekuwa akitumia mtaji wa forum ya waumini wake...
64 Reactions
616 Replies
50K Views
Vyeti vyamuondoa mhudumu wa mochwari
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kwa heshima na tahadhima naungana na familia na watanzania wote kutoa pole kwa familia , Ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya basi la shule ya Lucky huko Karatu Arusha. Mola...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Waungwana! Kwanza nikiri wazi kuwa hili jukwaa mnashahuri vitu vya msingi na mara nyingi baadhi ya shahuri nikizifuta nafanikiwa. Hoja ilivyo ni kwa kodi yangu inaisha mwezi huu, ila kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa vile mimi ni muumini wa "powers from within!, tukio la hii ndege kupotea na mpaka sasa hakuna taarifa yoyote, kunanifanya mimi ndio kwanza nzidi kuchanganyikiwa kabisa!, sio kwa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Hizi kazi zinachosha sana
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau naombeni tushirikiane kujadili tatizo hili ambalo serikali unaelekea kuizika pasipokujua kwanini tatizo limetokea
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati mwingine nguvu kubwa ielekezwe kwa kuwazimisha waganga wote wa kienyeji wanaohamasisha maovu kwa siri au kwa kujulikana.hiyo ni njia isiyona gharama ya kupambana na watu wenye Nia ovu ktk...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Nimeguswa sana na kuhuzunika kwa watoto wetu kupoteza maisha kama mshumaa katika upepo. Poleni wafiwa poleni sani. Kama mzazi na huwa silalagi ninapokuwa napata taarifa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni zaidi ya masaa kumi na mbili sasa transaction kupitia airtel money imekwama na sababu iliyotolewa ni sababu za "kiufundi" Ingawa kampuni husika ya simu haijatoa public notice au tangazo kwa...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Hivi wote walioajiriwa Serikalini walifuata utaratibu wa ajira unavyotakiwa?. 1. Je palikuwa na Tangazo la kazi kwenye Shirika au Taasisi husiki...( ref. Ofisi ya Vitambulisho vya Taifa) 2. Je...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom