Atakaethibitika kutumia cheti cha mtu mwingine kesi imeisha

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Naomba nishangae kidogo

Eti mtu anatumia cheti cha mtu anajigamba? Huu ni uwendawazimu..nadhani watanzania tunacheza na sheria. Ina maana watu hawajui kutumia cheti cha mtu ni kosa? Hivi mtu eti anatumia cheti na mwenyewe anajua hii ni akili kweli?

Wabongo hatuelewi tunachokifanya. Nadhani akithibitika ametumia cheti cha mtu mwingine awekwe ndani. Naona eti mtu anajigamba kabisa are we serious?
 
PINGA NA KATAA MATUMIZI YA VYETI FEKI.... HAO WATU WANAOFOJI HAWATUFAI
 
Back
Top Bottom