List ya majina ya watumishi wanaotakiwa kuhakikiwa tena naomba kueleweshwa kitu

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,406
3,879
Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nimeweka majina hapa
 
Attachments

  • DOC-20170506-WA0020.pdf
    1.1 MB · Views: 123
  • Thanks
Reactions: BCN
Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
Mbona hiyo sehemu ya incomplete sijaiona? Au wewe umeiona wapi?
 
Huku kuna mwalim ameajiriwa mwaka Wa tatu lakn anakabikiwa na carry over udsm , nadhan majina yao n km hayo
 
Wahakiki mote kuwanzia police;imagration;jwtz na walinzi wote wahakikiwe pamoja na uzawa wao maana hivi sasa ninanusa harufu baadhi ya walinzi wetu tena wenye vyeo vya juu sio watanzania wazee wa 10%...........wazee wa Dili .........Amri mbovu ........

Tanzania kweli ilioza magu fagia
 
Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
Jaribu kujiongeza isome headings za kila column, utaona missing items, hizo ndo incomplete zinazotakiwa kujazwa, leo tuache tuendelee na majonzi
 
Attachments

  • VID-20170507-WA0009.mp4
    2.4 MB · Views: 47
Back
Top Bottom