Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Ndugu wadau,
Kama mnavyojuwa utamaduni wetu wa TZ pale mmoja wetu anapokuwa mgojwa kunakuwa na utaratibu wa kupeana pole hasa inapokuwa ni kiongozi mkuu kama Comredi Kinana na Vyombo vya Habari huwa vinatupasha Habari wakati wakuu mbali mbali wanapo mpa pole mkuu mwenzao.
Lakini cha kustajabisha toka mkuu wa kaya atuhabarishe kuwa kamtuma Ndugu yetu huyu kwenye matibabu na kufuatiwa na msemaji wa ccm Polepole kuwa wamempa likizo mkuu huyu, lakini cha ajabu hakuna kiongozi hata Mmoja ameenda kumpa mkono wa pole kiongozi huyu.
Je tunapigwa changa la macho ? Je kuna yanayoendelea nyuma ya pazia sisi vipenzi wa Kinana hatujuwi ?? Je viongozi wetu Wakuu ni waongo ??
Kazi yote aliyoifanyia ccm ..! Leo hakuna kiongozi yeyote anayeweza kwenda kumpa pole ?? Tukaonyeshwa kwenye TV akimpa mkono wa pole na tabasamu la matumaini.
Yupo wapi Mzee Mwinyi !?
Yupo wapi Mzee Mkapa !?
Yupo wapi Mzee Kikwete !?
Natamani kulia kwa uchungu , jamani hii siyo TZ tuliyo izoea , inasikitisha....!!??
Ewe Mola nakuomba tuletee Nyerere mwengine wa kututetea sisi waja wako Wanyonge ,
Kwani Mwalimu Nyerere alikuwa kweli Mtetezi wa wanyonge na wala asinge kaa kimya katika jambo kama hili.