Hivi ni sawa kupokea salamu au kuongea na mtu ambaye unatambua hakupendi?

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
279
jamani wana jf kuna jirani yangu huyo ananichukia bila sababu yaani hata sijui ni kitu gani nilichowahi kumkoseaa ,kuna muda niliwahi kumtafuta nizungumze nae kama jirani yangu kwa nijue nimemkosea kitu gani lakini nilivonana hakuniambia kama nimemkosea nini,

lakini watu wake wa karibu wamekuwa wakiniambia jinsi anavyonisema vibaya mimi pamoja na familia yangu na lakini pia ameshawambia watu kwamba mimi ananichukia, mara ananisema vibaya kwa watu kama najiona mara najisikia .......

lakini yote tisa nikikutana nae njiani huwa natamani kubadili njia nipite njia nyingine moyo wangu umekuwa muoga kila nikimuona mwili wangu unasisimuka nakosa amani kabisaa lakini nikionana nae ananisalimia vizuli lakini akikaa na watu ananisemaa vibayaaa.

yote tisa hivi nawezaje kuishi na mtu kama huyuu jamani halafu pia hivi ni sahihi kupokea salamu yake akinisalimia au nami nianze kumkaushia nikionana naye.....

jamani naombeni ushauli kutoka kwenu
 
wanawake kwa kuchukiana bana!! wanaeza kuwa hawapendani halafu wanaishi nyumba moja, na wanapiga stori vizuri tu!!! hahahahahahaaa..... ngoja waje wenzako mshauriane
 
mkuu wewe usijenge chuki nae...msalimie kawaida tu na usigombane nae... LIFE IS TOO SHORT TO HATE SOMEONE
 
Salamu ndo chanzo cha kurudisha amani itikia salam ikiwezekan muanze wew kumsalimia
 
Back
Top Bottom