thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 528
- 227
Leo nimepata muda wa kupitia pitia Google Maps kuangalia maeneo tofauti tofatuti.
Lakin nilipofika katika ziwa nyasa vitu vya kushtusha naviona mbele ya macho yangu.kwa kifupi ni ziwa lote la nyasa kupewa umiliki nchi ya malawi
Vitu hivo ni kama ifatavyo;
1) jinsi mipaka ilivyowekwa.
Ukiangalia mipaka ilivyowekwa unagundua hili.
Kwenye hizo dot nyeupe ndio kwenye mipaka kati ya nchi ya tanzania na malawii
Lakin ukiangalia vizuri unakuja kugundua hakuna kwenye ramani kuna sehem imeandikwa ziwa nyasa..ziwa zima limejulikana kama ziwa malawi
Sasa maswali yakanijia kichwani je ni kweli ziwe limeshachukuliwa na wamalawi kama walivyokuwa wanadai....mana si muda mrefu toka nisikie kuna watanznia wamekamatwa pindi walipokuwa ziwani nyasa..