Serikali itoe ruzuku uendeshaji shule binafsi

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,399
Hii nchi inawatu wa ajabu sana, kila siku inaweka mazingira kandamizi kwa sekta binafsi. Inakuwaje hospital kama Bugando KCMC zinapewa ruzuku ya serikali halafu shule binafsi zinazotoa huduma kwa wananchi sawa na shule hazipati ruzuku? hapana shule zipewe ruzuku za kununua school bus na mahitaji mengine yenye gharama kubwa kama ukarabati wa majengo.

Shule ngapi zenye mtaji wa kununua mabasi kama haya?
31936.jpg


Ubebaji huu wa wanafunzi haukubaliki hata siku moja, serikali ichukue hatua.
4b97fb14bb8644c3d23cdbfa7990f031.jpg
 
Back
Top Bottom