Wajuaji Wa Sheria Za Barabarani Naomba msaada.

Wajuaji Wa Sheria Za Barabarani Naomba msaada.

Matafu Z

Senior Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
145
Reaction score
161
Hivi mfano nikitaka kurudi reverse katika Highways sheria inanielekeza nipite upande gani wa barabara? Naombeni msaada kuna gari imeharibika upande wa gear inakubali reverse tu na inatakiwa ipelekwe kilometa moja na nusu ili kufika kwa fundi.
 
pita upande wa magari yanayoelekea huko kwa fundi usiludie hapo ilipohalibikia
 
Haiwezekani...waite breakdown waje wakusaidie kukuvuta au omba msaada gari lingine likuvute...ukisema urudi Reverse utaleta adha kwa watumiaji wengine wa barabara
 
Back
Top Bottom