Hatari

Hatari

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
324
Reaction score
112
Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture
 
Au mkisikia dcm mbagala makumbusho lime dondoka Tuanze kutafuta mchawi nani kumwaga kifusi tu shídaa ndooo maana mheshimiwa anawatumbua Maana wabongp vichwa maji.
 
Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture


Alipokuwa akizindua kampeni mwaka 2015 alisema watakaosema mchakato, atawaambia wakafanyie mchakato majumbani kwao, hilo shimo limelalamikiwa siku nyingi je lipo kwa maslahi ya chama gani
 
Kumbuka Keko iko wilaya ya Temeke...... na wakazi wake kwa asilimia kubwa ni wanachama wa ama CUF au Chadema....

Hivyo swala lolote kuhusiana na MAENDELEO watajiletea wao wenyewe.....

Hakuna barabara mpya Keko wala ukarabati toka 2010...
 
Back
Top Bottom