RIP, ndugu na jamaa wote nawapa pole sana, inahudhunisha inasikitisha, they were so young and their life was ahead of them hii ni janga, imeniuma sana.
Mungu awape wazazi na walezi pamoja na jamaa zao utulivu katika wakati huu mguu wanaopitia kwa kuondokewa na watoto hawa ambao walikuwa wanaitafuta elimu kwa bidii...huu ni msiba wa Taifa.RIP
RIP, ndugu na jamaa wote nawapa pole sana, inahudhunisha inasikitisha, they were so young and their life was ahead of them hii ni janga, imeniuma sana.
Very touching.Nilivyokuwa mdogo baba yangu alikuwa ananiambia anataka afariki yeye na kutuacha sisi watoto wake.Nikawa namshangaa-Yaani huyu haogopi kifo.Lakini baada ya kupata watoto ndo nimeelewa alikuwa anamaanisha nini.Kwa wazazi,watoto wanauma sana Napata picha uchungu walio nao wazazi wao.Naomba niwaombee kwa imani yangu "Mwanga wa milele uwaangazie hawa watoto eeh bwana,wapumzike kwa amani Amina.".
Habari hii ni ya kusikitisha sana. Matukio kama haya yatupatie nafasi ya kutafakari. Sijui chanzo cha ajali lakini nimesikia ni utelezi uliosababishwa na mvua.
Madereva, hasa wanaoendesha magari ya watu wengi, ikiwa ni pamoja na madereva wanaoendesha magari ya wanafunzi wapewe mafunzo maalum ili wawe na uwezo wa kuendesha magari kufuatana na hali iliyopo.
Jana nimetoka Dodoma kuja Dar, mvua ilikuwa inanyesha, barabara inaonekana kuwa utelezi kwa kuangalia texture yake, lakini kuna magari mawili yenye usajili wa STK yalinipita kwa mwendo wa kasi kiasi cha kunishangaza kama madereva wale wanajua chochote kingine zaidi ya kukimbiza gari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.