Baba utaua watu Legeza kidogo 'just Imagine'

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,367
2,219
Hali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri....

Namkuu ....
Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu kwan mabomba yamekata kuleta gesi???

Naambiwa nina cheti feki wakati nimebakiza mwaka mmoja kusitahafu hivo mafao yangu mnakula Just Imagine...

Bado ninauguza kidonda cha eti nina cheti feki naambiwa nyumba yangu ipo kwenye road reserve Mt 112.5 nibomoe Just imagine .... niende wap mm nina familia na watoto na nguvu imekata....

Hadi naondoka kijiweni mzee analalama halo si shwari kiujumla

Baba legeza sie wote watanzania kama wewe
 
Mkulu anzingua mnae mfagilia haijawakumba kadhia yake kun wat wanalia mtaaaan hawataki hta kusikia ki mbunga hiki hhha Ccm ohoyeeeeeed hhha tukutane 2020 cc ndio wenye nchi c yy
 
Hali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri....

Namkuu ....
Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu kwan mabomba yamekata kuleta gesi???

Naambiwa nina cheti feki wakati nimebakiza mwaka mmoja kusitahafu hivo mafao yangu mnakula Just Imagine...

Bado ninauguza kidonda cha eti nina cheti feki naambiwa nyumba yangu ipo kwenye road reserve Mt 112.5 nibomoe Just imagine .... niende wap mm nina familia na watoto na nguvu imekata....

Hadi naondoka kijiweni mzee analalama halo si shwari kiujumla

Baba legeza sie wote watanzania kama wewe
yote anayofanya rais ni sahihi isipokuw anafanya nje ya vipengele vyake muhimu Sera ya viwanda imekufa hakuna hat a kimoja kilichofufuliwa mikopo mil 50 kila kata hakuna wakina mama ni wepesi sana kusahau mateso ya ccm
 
Mkuu achaa tuisome no.
 
Tusipozalisha Alshababi this time sijui. Binadamu akikosa majibu yote, solution ya mwisho ni kuua au kujiua. Huku sio kunyoosha nchi ni kutengeneza Alshababi wa kudumu nchini.
 
yote anayofanya rais ni sahihi isipokuw anafanya nje ya vipengele vyake muhimu Sera ya viwanda imekufa hakuna hat a kimoja kilichofufuliwa mikopo mil 50 kila kata hakuna wakina mama ni wepesi sana kusahau mateso ya ccm
Kila kijiji mkuu, sio kata.
 
Rais wetu mtukufu achaa anyoshe nchi .gonga gia derever.
Hahaa eti gonga gear, hahaa magu bana analala na kona za kitonga kama haoni kuna kuna, malori yanapisha njia kwa kasi na kubaki kusoma namba jamaa yuleeeee TZ 2018 DZZ.
 
Mimi bado najiulza...kama Hawa watu waliajiriwa kwa mfumo halali ilhali wakijulikana sifa zao zinapwaya, je ni nani anastahili kuchukuliwa hatua..? Kwanini Hawa watu wachukuliwe kama wasio na mchango wowote kwa taifa hili..?
 
Back
Top Bottom