SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
-----
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa...
Habari kwa mpigo!
Kwanza kabisa naomba nitoe salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki naTaifa kwa ujumla kwa ajali iliyotokea Rhotia-Karatu na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu...
PricewaterhouseCoopers, one of the world's largest professional-services firms, just released its predictions for the most powerful economies in the world by 2030.
The report, titled "The long...
Wanaume wenyewe tunafahamu, kwamba ili ufanikiwe kumnyakua malkia mmoja na kumuweka katika ufualme wako ni lazima uwe na ulimi wenye chembechembe fulani za uongo hivi ujue kupangilia maneno...
Jamani mnijuzeni ni wapi hapa Arusha Ibada ya Kitaifa kuwaaga wanafunzi waliofariki ajalini jana itafanyika? Au ndo kila mmoja anajichukulia tu mwili wa mtoto wake?
Wadau,
Kuhusu msiba wa wa wanafunzi 32 wa shule ya Lucky Vicent Arusha.Taifa zima limetetema.Taifa zima linaomboleza.
Ni msiba mkubwa kitaifa kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa kwa tukio kubwa...
Watanzania tumekua watu wa lawana kila uchao. Hivi majuzi watu waliwatupia sana lawama wasanii wetu wa bongo movie bila kujihukumu wao kwanza bila shaka kila mmoja anajua nini kilitokea...
Wakuu habari za wakati huu.
Naomba niwasilishe maoni yangu juu ya tukio hili la kuhuzunisha lililotukuta, nina huzuni kubwa toka nimesikia tukio hili nafsi yangu haina furaha kabisa.
Kama mzazi...
Naunga mkono kwa kuweka background nyeusi imedhihirisha nyie ni wazalendo sana kama clouds media hongereni mungu awabariki RIP watoto wetu na walimu wetu
Nimetumiwa ujumbe huu ktk whatsap!
FWD HIYO NAMBA 0655600071 IKIKUPIGIA USIPOKEE, USIKU KUAMKIA JUZI IMESHACHUKUA WATU 8 MAENEO YA TEMEKE YAANI NA LEO ASUBUHI WATU 13, WA 5 MNAZI MMOJA NA 8...
Ndugu zake wamesimulia tabia yake na kilichotokea siku ya tukio.
Mazishi yake yanasubiri kuwasili kwa wazazi wake, ndugu na jamaa kutoka mkoani Geita. Marehemu ameacha watoto watano, wa kike...
Nimeuliza tu jamani au kuna masharti yapi kwa bendera kupepea nusu mlingoti, huu msiba ni mzito sana ukizingatia ni watoto kwa makumi ya kutosha wametutoka na umewagusa watanzania wengi. Hili...
Ni muda wa miaka miwili umepita kuanzia nihitimu chuo na baada ya hapo suala la ajira limekuwa mtihani kwa yalifuatia matamko mfululizo kuhusu kushitishwa ajira.
Basi nikaamua kupambana kivingine...
Wakuu za mchana?poleni na msiba wa Jana wa watoto wetu na wadogo wenu kule karatu Jana.Nisiwachoshe saana na MNA majonzi makubwa,sijui huu Uzi nimeuweka mahali sahihi kama sipo modes muuhamishe na...
Usione ukadhani ndugu yangu kuwa kila mtu ambaye leo anacheka alizaliwa anacheka. Kama kila mtu angesema kule alikopitia mpaka hapa alipofika angeweza kutengeneza movie ya Episode kama 5.
Wapo...
Wakuu naomba angalau mchanganuo wa pavings blocks kama ukiamua kutengeneza mwenyewe. Yaan labda kwa mfuko mmoja wa cement inaeza toa paving blocks ngapi, gharam ya fundi anayetengeneza na mchanga...
Habari za Jioni
Tukiwa tunaona na kusikia Feki,Utata nk wa vyeti vya watanzania wenzeti naomba kupata ufafanuzi wa hii kitu.
Candidate A na Candidate B.
Ni wahitimu wa kidato cha nne mwaka...
Nimejaribu kumbuka ile ajali ya MV Spice Na uzito wa coverage wa like tukio zito kwa Taifa kipindi kile.
Media zetu wala hata updates tu za kila punde haikuwepo..
Leo tena vifo vya Watoto wetu...
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima amemtaka Spika wa Bunge kuahirisha kikao cha Bunge siku ya kuaga miili ya watoto waliofariki kwa ajali ya jana.
Amesema kama Rais wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.