Itafika zamu yao kwasasa kipimo kimeelekezwa hukoHivi hawa TMA huwa wanafanyaje maana kwenye hali ya joto baadhi ya kanda haziwekwi. Angalia hapo nyanda za juu kusini wameweka Mbeya,Iringa na Njombe.
Huku kusini hakuna Lindi,Mtwara au Ruvuma hata mmoja hakuna.