RAIS WA KENYA MHE.KENYATTA AMETUMA SALAAM ZA POLE KWA JPM KUFUATIA AJARI YA BASI HUKO KARATU

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Akiwa katika MKUTANO wa hadhara wa kampeni aliwatangazia wananchi kuhusu tukio hilo.
Amenipa Picha kuwa tuko pamoja anafaa kuungwa mkono katika kampeni yake arudi ofisini japo ana KAZI ngumu dhidi ya Raila Amolo Odinga.
Je wewe ungependelea nani ashinde kati ya Raila na Kenyatta?
 
Be specific!! What is your point? Msiba?au kampeni? Tuache tulie!!wenye moyo wa imani watatupa pole ya kweli!! Too sad!
 
kuwa makini kutuma uzi kumbuka kilichotokea kinauma kuliko uchaguzi huo, uchaguzi upo endapo utataka ila sio ajali na roho za watoto izo hazipo tena milele na milele. kuwa makini.
 
Akiwa katika MKUTANO wa hadhara wa kampeni aliwatangazia wananchi kuhusu tukio hilo.
Amenipa Picha kuwa tuko pamoja anafaa kuungwa mkono katika kampeni yake arudi ofisini japo ana KAZI ngumu dhidi ya Raila Amolo Odinga.
Je wewe ungependelea nani ashinde kati ya Raila na Kenyatta?
ODINGA ATASHINDA: MARK MY WORDS
 
1d9e9a6f2770b990c4763e394edb4f2a.jpg
This guy..respect uhuru
 
Jamaa ni smart sana nilitegemea salam zingetoka kwanza mkoa wa Kigali
 
Back
Top Bottom