Paving Blocks za kutengeneza mwenyewe

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
194
70
Wakuu naomba angalau mchanganuo wa pavings blocks kama ukiamua kutengeneza mwenyewe. Yaan labda kwa mfuko mmoja wa cement inaeza toa paving blocks ngapi, gharam ya fundi anayetengeneza na mchanga kiasi gani labda.

Ni hayo tu wakuu nawasilisha.
 
Idadi inategemea na eneo unaloweka!
Kadri ya jinsi panavyotumika ndiyo uimara unahitajika!
Mfano! Mahali pa parking ni tofauti na sehem ya kawaida
80pc-100pc of bl for 1bag of Cement (parking & basketball court etc)
100pc-150pc of bl for gardens and corridors etc
Kwa ubora Wa paving zingatia shape!
 
mkuu hizo paving hutumika ngapi kwa square mita moja kwa mfuko mmoja wa cement?
 
Idadi inategemea na eneo unaloweka!
Kadri ya jinsi panavyotumika ndiyo uimara unahitajika!
Mfano! Mahali pa parking ni tofauti na sehem ya kawaida
80pc-100pc of bl for 1bag of Cement (parking & basketball court etc)
100pc-150pc of bl for gardens and corridors etc
Kwa ubora Wa paving zingatia shape!

Asante mkuu kwa ufafanuzi nimepata angalau mwanga.
 
Back
Top Bottom