mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Habari za Jioni
Tukiwa tunaona na kusikia Feki,Utata nk wa vyeti vya watanzania wenzeti naomba kupata ufafanuzi wa hii kitu.
Candidate A na Candidate B.
Ni wahitimu wa kidato cha nne mwaka flani. Katika pitia pitia mtahiniwa A aliyehitimu shule moja hukoooo nyuma anaona candidate B naye amehitimu shule hiyohiyo aliyomaliza f4.
Hakuna mtu kama huyu Candidate B katika shule hiyo mwaka waliohitimu. Huyu Candidate B anaonekana anatumia namba ya A. Sehemu ya majina inafanana lakini Candidate A katika Historia yake darasani hajawahi kumuona huyu B.
Candidate A na B wanafanyakazi katika Halmshauri moja ila hawajuani. Majina yanaonekana kwa bosi wao. Wote sasa ni wafanyakazi na sasa ndio imejulikana uwepo wa huyu B na Kumbe wana f4 index namba moja.
Hapo ndipo utata wa majina yao ulipo. Na matokeo yao kidato cha 4. Mtu wa baraza tafadhali msaada. Huyu B anaonekana dhahili ametumia f4 index ya A. Maana A hamjui B kuwahi kuwa darasani kwao. Mbaya zaidi katumia sehemu ya jina la A kwa kuongeza lake katikati.
Swali: Who is WHo hapa. B na A inakuaje wafane namba na matokeo..B ameyapata wapi matokeo na cheti original?
Asante