Nataka kuwasiliana na ubalozi wa Uingereza nchini, naomba msaada kutoka kwenu

mchovu wa fikra

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
335
394
Tafadhali naomba kuwasiliana na balozi wa Tanzania hapa uingereza.
tafadhali mwenye contacts za ubalozi huo.
 
Mchovu wa fikra.... Hahahaha...
Hizi kiki hizi sasa ni janga la taifa.
 
naona akili imekurudi .
Haya sasa sikiliza na hilo huna haja ya kuuiliza huku . Amka Asubuhi fika pale Posta Mtafute Dreva Tax ama Mtu yeyote ...kisha muulize unapotaka Kwenda .
 
Ulifika fikaje UK Ikiwa hufahamu hata ubarozi wa nchi yako unapatikana wapi? Hata google imekushinda dada?
 
Back
Top Bottom