N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,121
- 10,233
Nimeuliza tu jamani au kuna masharti yapi kwa bendera kupepea nusu mlingoti, huu msiba ni mzito sana ukizingatia ni watoto kwa makumi ya kutosha wametutoka na umewagusa watanzania wengi. Hili lingetoa faraja zaidi kwa wazazi ndugu, jamaa na marafiki.