Wanaume wenzangu wengine sijui mmelogwa na nani

Wanaume wenzangu wengine sijui mmelogwa na nani

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,337
Reaction score
7,757
Wakuu za mchana?poleni na msiba wa Jana wa watoto wetu na wadogo wenu kule karatu Jana.Nisiwachoshe saana na MNA majonzi makubwa,sijui huu Uzi nimeuweka mahali sahihi kama sipo modes muuhamishe na samahani.Leo majira ya SAA 5 na nusu asubuhu nikiwa nimekaa kibaraza cha nyumba jiran nimemaliza kunywa chai napiga story na jamaa yangu na kuangalia mizigo ya huku kwetu uswahilin kwetu tandale machokodo akapita shilawadu wa kujitegemea akatuambia nyumba kama ya 5 kuna tukio LA ubakaji,tukaacha mambo yetu ili tukashuhudie.kufika umati mkubwa umejaa kwenye nyumba hiyo ndani hadI nje,ikabidi tujifanye maafande ili tuingie mpaka ndani,tumemkuta binti wa miaka 14 amebakwa kusimama hawezi,ikabidi tumuitie bajaj na wa mama wawili wambebe na mjumbe,na mlinzi shirikishi waende polisi tandale sokoni hapa,sasa hivi nipo hapa hospital ya tandale,kuna usenge lakini hapa hospital, sijui utaratibu ukipewa PF3 je bado unalipia vipimo?okay tukasema hatuna hela na huyu binti hatumjui in wasamaria wema tuirudishe polisi?wakasema nendeni kwa Dr tena tukaandikiwa eti favour, cha ajabu tumerudi maabara et tukanunue kipimo cha mimba hawana hospitali jamani!wamama wanasema binti kachanwa haswa,kwa nn tunakuwa hivi wanaume na wanawake wamejaa sinza na manzese!?au tunatafuta bikra hatujawahi kuionja?
N:B
Huyu motto alikuwa house girl kinondoni akafukuzwa bila malipo bila nauli,mshikaj amemuokota mtaani akajisevia,wakina mama kuweni na huruma na mahousegirl tafadhali,walipeni stahiki zao mnapowafukuza kazini!
IMG_20170507_115731.jpg
IMG_20170507_115645.jpg
IMG_20170507_115642.jpg

Picha umati wa watu ukishangaa

.
 
wengi wanashindwa kudhibiti tamaa za miili yao na wengine wanafanya haya kutimiza masharti napinga huo ukatili
 
Mtu kama huyo hastaili kuitwa Mwanaume... Muhusika kakamatwa?
 
Dah si bora angejilipua mwenyewe bafuni na sabuni kuliko kubaka.anyogwe
 
Wanaume wa dar tunajua kutongoza wanawake watu wazima wazuri, huyo atakuwa mwanaume wa bara
 
Back
Top Bottom