SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Watanzania tumekua watu wa lawana kila uchao. Hivi majuzi watu waliwatupia sana lawama wasanii wetu wa bongo movie bila kujihukumu wao kwanza bila shaka kila mmoja anajua nini kilitokea...!!
Binafsi kwa kupitia maigizo/sinema/ na tamthilia za nchi tofauti imenisaidia sana kuujua ulimwengu, tamaduni zao, historia zao na vitu vingne vingi sana vya muhimu( vyao). kwa wenzetu sanaa hii ya maigizo mabillion ya pesa yamekua yakiwekezwa ili kazi zao zivutie,, Huwezi amini katika movie moja ya wenzetu mathalani zaidi ya proffession 100 tofauti zinahusika..,,yani kwa kifupi ili movie itoke si jukumu la mtu mmoja..
Huku bongo yetu jukumu la sanaa za maigizo( bongo movie tuseme) wameachiwa walala njaa wanaotafuta kula baada ya kuuza viCD vyake.,wengi wao hawana elimu yeyote kuhusiana na mambo wanayoyafanya..,, Wawekezaji pia wameipa mgongo sanaa hii inayoelekea kufa kwetu..
Tusishangae kuona bongofleva inakua kwa kasi,, wawekezaji wanafanya yao huko, ingawa na yenyewe sio sana kiivyo,, Huwezi usimtaje Diamond ktk bongofleva kaipa mchango mkubwa na kazika pessa yake nyingi ndo mana yeye yuko alipo na bongofleva ipo ilipo sas hiv..!!
Tamaduni zetu, historia yetu kama nchi, tunaisambaza vipi kama tansia ya filamu inaelekea kufa??
Ni wajibu wetu kwa pamoja kuanzia serikali yetu, wawekezaji, msanii atakua ni mtu wa mwisho kutimiza wajibu wake kama wote tutakua tumtimiza wajibu wetu....
Yanayojadiliwa humu wengi wanayaona, na ndo watekelezaji wa kwanza... Hebu tutoe idea ni jinsi gani tunaweza kuiboresha na kuikuza sanaa yetu ya filamu Tanzania, tusiwaachie jukumu wasanii peke yao na wao wawe ni wa mwsho kabisa kulaumiwa.