Ibada ya Kitaifa Kuwaaga watoto waliofariki.

DENNING

Senior Member
Jun 22, 2011
174
109
Jamani mnijuzeni ni wapi hapa Arusha Ibada ya Kitaifa kuwaaga wanafunzi waliofariki ajalini jana itafanyika? Au ndo kila mmoja anajichukulia tu mwili wa mtoto wake?
 
Nenda uwanja wa Shekh Amri Abeid Arusha
Jamani mnijuzeni ni wapi hapa Arusha Ibada ya Kitaifa kuwaaga wanafunzi waliofariki ajalini jana itafanyika? Au ndo kila mmoja anajichukulia tu mwili wa mtoto wake?
 
Ni vyema Viongozi wote wa Kitaifa tukianzia na Mhe Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu na Uongozi wote wa Mkoa wa Arusha na Mikoa Jirani wakashiriki Misa/Ibada ya kuwaaga wapendwa wetu wanafunzi walifariki katika ajali huko Karatu.
Kwanini unaingiza siasa?
 
Niwe na madhara kwani umeambiwa mi Simba au kifutu?
as a great thinker, sihitajiki kuwa na madhara, natakiwa kuwa na nguvu ya ushawishi (influence)

As a great thinker ulitakiwa uelewe hapa si madhara ya kuattack na kudhuru kama simba yaliyohusishwa.
 
Ni vyema Viongozi wote wa Kitaifa tukianzia na Mhe Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu na Uongozi wote wa Mkoa wa Arusha na Mikoa Jirani wakashiriki Misa/Ibada ya kuwaaga wapendwa wetu wanafunzi walifariki katika ajali huko Karatu.
kama wakati wanapokea riport ya vyeti feki pale UDOM? nasikia alisema watu wa Moshi kawasamehe kwa kuchagua upinzani, sasa sijui kama wa Arusha wamesamehewa
 
Back
Top Bottom