mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,408
- 704
Nimejaribu kumbuka ile ajali ya MV Spice Na uzito wa coverage wa like tukio zito kwa Taifa kipindi kile.
Media zetu wala hata updates tu za kila punde haikuwepo..
Leo tena vifo vya Watoto wetu, Waalimu Na dereva watu zaidi ya 30, Huko karatu..
Naangalia media zetu bado zipo kwenye usingizi uleule..
Si TV ya Taifa wala vyombo binafsi..
Kwa wenzetu kupoteza watu 32 si jambo dogo aisee...
Yaani tunasubiria taarifa ya Habari saa 1 Na saa mbili usiku...