Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wengi wanapenda sana kununua hisa lakini kuna vitu vinavyo watatiza , Niulize swali lolote kuhusiana na stocks pamoja na capital markets . Biashara zifanyikazo katika capital markets ndio...
8 Reactions
165 Replies
31K Views
Wengi tuna imani maswala ya mtoto wa kike au wa kiume kuwa malaya sana athari kubwa ni magonjwa..... hapana kwa mujibu wa babu mmoja na busara zake nimekaa nae leo anasema kwamba kitendo cha mke...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Ni rafiki, jamaa, school mate na ndugu yangu pia. Lakini fagio LA vyeti feki limemkumba, yeye alikuwa Mtumishi Wa Afya (mtaalamu wa Maabara) Kibaha vijijini katika kata ya Kikongo. Hofu yangu ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wana JF, Nahitaji kujenga stoo ya kuhifadhia mazao ya mbogamboga kama matunda, viazi na nyanya. Naombeni kwa anayejua ujenzi wake unatakiwa uwe vipi na pia mashine ya kupooza hiyo stoo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nimegundua hapa dar nyakati hizi wanaume wanasalimia wanawake vizuri hadi raha. Baadhi nilikua napishana nao ni salamu tu"mambo?" au hata anaweza asikusalimie. Ila sasa utasikia Dada...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kama wengi wa wanadamu, hasa waamini wa dini mbalimbali wanavyosema mara baada ya kutokea ajali kwamba shetani ndiye msababishaji wa ajali husika. Hii si kweli, kwa hoja zifuatazo; A.Kama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wote,napenda leo niongee na waziri wangu wa ardhi mh.william lukuvi,mheshimiwa kuna pahala kunaitwa ruvu_vigwaza eneo la kwala kibaha vijijini ambapo mradi wa bandari kavu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeifanya Hii Research ndogo kwa Majina ya watu watumishi wa Umma waliofoji Vyeti , pamoja na Majina yaliyotoka leo ya wauguzi pale Muhimbili Hospital, ukijaribu kuchunguza kwa Ujumla wake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kupata ajali ya gari, na kutolewa jicho moja huku uso wake ukiwa umeharibika Anna aligopa hata kutoka nnje achilia mbali kutoka na mumewe kwenda sehemu za starehe. Mumewe alijaribu...
28 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wafiwa woote wa ajali ya gati la Lucy Vicent. Mungu azilaze roho za wote mahali pema. Katika uzi huu sina nia mbaya ya kumsema mtu au kusmea biashara ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
While taking my cold balimi this shit just crossed my mind: Unaenda ugenini unatakiwa kuvua viatu alafu una soksi ambazo zinanuka au zimetoboka; Uko kwenye mkutano watu wanapiga kelele alafu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, naomba kupewa link yenye orodha hiyo. Yaani cheti kimoja watu wawil au zaidi. Hapa nilipo presha iko juu sana. Me kifupi nimesoma darasa lenye watu wengi...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Jana kwenye taarifa ya habari ya itv saa mbili usiku kulikuwa na taarifa iliyohusu msiba wa Arusha. Tangu siku mbili zilizopita imejulikana kuwa watoti hao wametokea shule inaitwa Lucky Vincent...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo...
12 Reactions
147 Replies
15K Views
Kutoka kwa Nguli wa sanaa Tanzania; Mswahili VITALI MAEMBE. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe Unazidi kunitia Aibu! Mtu Mzima: Guitar Man! Vitali Maembe: Hi...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Tv Imaan inarusha mahojiano yao muda huu.Pia saa 3.30 leo usiku kutakuwa na kipindi maalum cha maafa ya mafuriko huko Pemba yaliyosababisha baadhi ya misikiti kubomolewa na maji.Stay tuned!
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Salaam ndugu zangu wapendwa Poleni na majukumu Ikiwa leo Nisiku moja toka tuizike miili ya watoto na wadogo zetu wapendwa . Nimeona leo Tuifanye nisiku ya kuwaombea Dua hapa jf Naimani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo pengine inaweza ' kuwashtua ' wengi hatimaye aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na sasa Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Mifuko ya Bima...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Hotel ya Break Point, David Machumu amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni akituhumiwa kwa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa risiti katika mashine za elektroniki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni hatari kama gazeti la serikali linaweza kuandika uongo. Habari yao ya gazeti la Jumatatu tarehe 8 Mei lina kichwa cha habari "Aliyenusurika bomu afa ajali ya Lucky". Habari hii si ya kweli na...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom