johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,985
- 164,232
Tv Imaan inarusha mahojiano yao muda huu.Pia saa 3.30 leo usiku kutakuwa na kipindi maalum cha maafa ya mafuriko huko Pemba yaliyosababisha baadhi ya misikiti kubomolewa na maji.Stay tuned!