hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Ni hatari kama gazeti la serikali linaweza kuandika uongo. Habari yao ya gazeti la Jumatatu tarehe 8 Mei lina kichwa cha habari "Aliyenusurika bomu afa ajali ya Lucky". Habari hii si ya kweli na imelenga kumtakia mabaya mtoto wa watu. Mtoto huyu alikuwa kwenye basi tofauti na lililopata ajali na ni mzima wa afya.