Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kilichotokea Arusha kimeshatokea. Majonzi yametupata kama taifa kwa kupoteza nguvu kazi na watanzania wenzetu waliokuwa kwenye uga wa elimu kwa maendeleo ya taifa letu pendwa. Tunamshukuru Mungu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki, Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange, Nimefika...
6 Reactions
107 Replies
6K Views
KUFELI kwa breki la basi la shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ya Lucy Vicent na udereva usio na uzoefu, vinahofiwa kuwa sababu ya ajali ya basi hilo iliyoua wanafunzi 32, walimu wawili na...
3 Reactions
26 Replies
10K Views
Ni jambo la ajabu sana unakuta imetokea ajali au janga ambalo msaada unahitajika lakini unakuta watu waliopo jirani wenye kuweza kutoa msaada wapo busy na simu zao wakichukua picha ili tu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari WADAU kama inavyoeleza heading naomba msaada mwenye soft copy yake anisaidie Nashukuruni Sana..Natanguliza Shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa tahadhari kwa wateja wake kuzingatia yafuatayo kipindi hiki cha mvua nyingi 1.Kutoa taarifa mapema mara inapotekea hitilafu yeyote kwenye...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Inapotokea ajali tumekuwa tukitumiana picha zinazoonesha jinsi watu walivyokufa. Wenzetu wa Ulaya huwezi kuona hivyo hii ni jinsi ya wao kujitambua. Wazungu wapo makini sana kutuma picha za hivyo...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanasheria wenyewe wanasema 'equal treatment before the law' - utawala wa sheria. Lakini hata katika baadhi ya maandiko ya kidini yanasisitiza kwamba 'Wanadamu wote ni sawa mbele za Mungu'...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Hivi mnakubaliana na hili swala la watu kuposti au kupiga picha za ajali na kuweka katika mitandao? Hebu jiweke kwenye position ya undugu wa aliepoteza maisha alafu kumbuka picha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
OMBI A. Ewe Chato Master tunakuomba utusaidie bei ya Unga, Sukari na Mchele na vinginevyo ishuke ili Watanzania tumudu hali hii ngumu ya maisha kwani kiukweli tunateseka mno. OMBI B. Ewe Chato...
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Baada ya Msiba wa wanafunzi waandishi wengi watarudi kwenye habari za kiki lakini tungekua na waandishi makini wangefanya research ya vyazo vya ajali.. Kuna maswali mengi sana ambayo mpaka...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Nimejikuta na search google na yahoo kuhusu "ajali za basi" na kuangalia picha mbalimbali za ajali. Mara moja niliona pattern fulani hiyo ambayo imenifanya niulize swali kwa wenzetu wanaojua mambo...
15 Reactions
109 Replies
23K Views
Yesterday morning, Kelly & I got the worst news of our lives: our beloved, sweet Ruth died in a tragic bus accident. We've cried more than any other time in our lives -- nothing compares. Because...
7 Reactions
30 Replies
9K Views
Mh.Paulo Makonda Mkuu wa mkoa wa DSM ile kampeni yako ya madawa ya kulevya ilikuwa kwa ajili ya Mh.Mbowe, Askofu Gwajima Na Rais wa Yanga tu?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanafunzi mmoja nchini Iran amelazimika kupelekwa katika kituo cha polisi mwishoni mwa wiki iliyopita kisa na mkasa! Kufanana kulikokithiri na Lionel Messi.Watu wengi katika mji wa Hamaden...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili neno limeshamiri huku JF. Mwanzoni lilianzia humu , lakini sasa limeshika kasi na watu wanaitana Mkuu . Imekua tofauti kwa watu wa JF kwani humu unakuta hadi mwanamke anaitwa "mkuu"...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
DOWNLOAD "NGOMA" THEN NISAIDIE KUSHEA dj mwassa mwasasaid.blogspot.is/2017/05/belly-ngoma-audio.html?m=1
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa mikanda ya vita wakati huo 90s kati ya hao Makomandoo nani ulikuwa unamkubali sana.Binafsi nilipenda sana kazi za Chuck Norris alikuwa halisi sana kuliko hao wengine, Wewe...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom