Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,203
157,376
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
----------------+-+----------+----------+-+---
UPDATES☝✋✌✌✌✌✌✌

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles Mkumbo amesema wanamshikilia mmiliki wa basi dogo aina ya Coaster ambayo ilipata ajali na kusababisha vifo kwa wanafunzi, walimu na dereva siku ya Jumamosi huko Karatu, Arusha.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles MkumboRPC Mkumbo amedai wanamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa kuruhusu gari yake hiyo kubeba abiria wengi zaidi kuliko uwezo wa gari "Siku ya tukio walikuwepo abiria 38 kwenye gari katika uchunguzi baada ya kubaini hilo tumeshachukua hatua kwa mtu aliyewezesha gari hilo kupakia hao watu.
Tumeshamkamata mmiliki wa gari ambaye ndiye mwenye shule hii, sasa hivi tunaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani"alisema RPC wa Arusha Kwa mujibu wa Mkumbo anasema gari hiyo ilikuwa na kibali cha kubeba watu 30 lakini gari hiyo siku ya ajali ilikuwa na watu zaidi ya 30.
Chanzo: EATV
 
Aiseeee masuala mengine no yakusamehe mkuu!
Watoto wenyewe no wadogo kiasi kwamba wanaweza kaa hata wawili na nafasi ikabaki!
Ingawa inauma kupoteza ndugu ila kiukweli sidhani yeye mwenyewe alidhamiria........
Binafsi hats lama alifanya hivo nimemsamehe nawalilia hapo watoto!
 
Una hoja nzuri ila umechemka vibaya sana namna bora za kuiwasilisha hapa jamvini. Jipange mkuu.

Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
My take:: ni tukio baya na la kusikisha: dereva ndio claimed coz kuna sheria za kumtamtaka kukagua gari yake kabla haijaanza safari yeye ndio ngekua na majibu sasa SASA kama mna muhukumu mwalimu kwa kosa la dereva KWANZA NI TAALUMA TOFAUTI NA NINA LIKEMEA LABDA KAMA WANA TAKA A PARTICIPATE INDIRECT
 
Ukitumia kipimo hichohicho mkuu utafunga wamiliki daladala wote nchini na matrafic wote ambao huangalia daldala zikipita zikiwa watu wengine wanapumulia tundu moja la pua kwa mbanano.utafunga wamiliki wote wa day care centers na English medium ambao hutumia mabus ambayo hayana mikanda ya usalama au watoto wanapakiwa kwenye Noah
Matatizo hayatatuliwi kwa kufunga watu Bali kuanzisha system ya kulitatua kwa kudumu Kitaifa
 
Aiseeee masuala mengine no yakusamehe mkuu!
Watoto wenyewe no wadogo kiasi kwamba wanaweza kaa hata wawili na nafasi ikabaki!
Ingawa inauma kupoteza ndugu ila kiukweli sidhani yeye mwenyewe alidhamiria........
Binafsi hats lama alifanya hivo nimemsamehe nawalilia hapo watoto!
Na ni kawaida sana kwenye school bus kukaa watatu watatu ila hii ni mbaya sana sababu itakua ngumu kuvaa mikanda
 
Back
Top Bottom