Mpima UKIMWI wa KATA Akutwa na vyeti feki: UPI USALAMA WA MAJIBU YETU

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
332
322
Ni rafiki, jamaa, school mate na ndugu yangu pia.
Lakini fagio LA vyeti feki limemkumba, yeye alikuwa Mtumishi Wa Afya (mtaalamu wa Maabara) Kibaha vijijini katika kata ya Kikongo.
Hofu yangu ni kwamba ana matokeo ya vipimo ya wagonjwa Wa HIV Wa takribani vijiji 10 toka kata 2.
Je, majibu yetu yataendelea kuwa SIRI kwa jamii?
 
Usalama utoke wapi. Kila kituo cha afya kina majibu yake. Ukienda leo kupima malaria vituo vitano utashangaa majibu yake,mara hapa hauna malaria,hapa unayo 3,2 na kuendelea
 
Suala la USIRI halijalishi vyeti bali UTASHI binafsi wa mtu
 
Wataalam feki, madokta feki, dawa feki, wanasiasa feki sasa sijui tufanyaje?
 
Pamoja na kuwa na list ndefu sijawahi wala kuufikiria ugonjwa huo, hofu yangu inatokana na msongo Wa mawazo ambao jamaa anapitia unaweza kuleta vurugu mtaani.
 
Kama uliambiwa huna HIV +ve....ujue ulikuwa nao. Maana wanaogopa kusema ukweli wakihofu wateja watakimbia. Ukijumlisha na vyeti ndio basi tena walahi!
 
Hpo kuna utata hata katika majibu aliyokuwa akitoa , maana yawezekana nayo yalikuwa fake pia
Pili , kuna uwezekano wa siri za wagonjwa kuwa nje nje maana kanzi data ya wali na ngwenwge
iko mikononi mwake.
Wamtizame maana na yeye asije akachapisha orodha yake ya watu aliowakuta na mdudu kimakosa.
Ni rafiki, jamaa, school mate na ndugu yangu pia.
Lakini fagio LA vyeti feki limemkumba, yeye alikuwa Mtumishi Wa Afya (mtaalamu wa Maabara) Kibaha vijijini katika kata ya Kikongo.
Hofu yangu ni kwamba ana matokeo ya vipimo ya wagonjwa Wa HIV Wa takribani vijiji 10 toka kata 2.
Je, majibu yetu yataendelea kuwa SIRI kwa jamii?
 
Hpo kuna utata hata katika majibu aliyokuwa akitoa , maana yawezekana nayo yalikuwa fake pia
Pili , kuna uwezekano wa siri za wagonjwa kuwa nje nje maana kanzi data ya wali na ngwenwge
iko mikononi mwake.
Wamtizame maana na yeye asije akachapisha orodha yake ya watu aliowakuta na mdudu kimakosa.

Chuo cha Afya alisomea Singida na kufaulu vizuri tu, tatizo ni Cheti cha O-level.
Sina hofu na upimaji wake, Nina hofu na siri za wagonjwa wake na majibu yao tu.
 
Wewe ni nani mpaka usiwe na hofu na cheti chake kama tu serikali yenye
mkono mrefu imekuwa na hofu na cheti mpaka ikafikia hatua ya kumuondoa kazini.

Back
Top Bottom