the glassroof
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 289
- 439
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, naomba kupewa link yenye orodha hiyo. Yaani cheti kimoja watu wawil au zaidi. Hapa nilipo presha iko juu sana.
Me kifupi nimesoma darasa lenye watu wengi wanafanana majina nami nikiwemo. Tusishangae sana mbona wachina wanafanana kwa sura na wanaajiriwa sembuse na sisi majina wakati sura tofauti na idara tofauti kabisa.
Tuko watatu katka utumishi, wawili kazi za kawaida na mwenzetu ni wenye sare wanaotembelea magari yasioombwa lift na mara zote wako kwenye spidi tu.
Huenda mwenzetu atapona maana hawajaguswa. Sina raha silali, niko fiti kwenye idara yangu nataka nijue mapema ili nianze maisha mapya. Tusichekane, hili janga ni kama maji tu usipo yanywa utayakoga.
Nawasilisha, mwenye kujua anisaidie huenda nikapona nikatumikia taifa. Na kwa upepo huu bora kustaafu kwa hiari hujui kipi kitaibuka tena.