raisi2020
Member
- Mar 4, 2016
- 82
- 83
Habari ndugu zangu wote,napenda leo niongee na waziri wangu wa ardhi mh.william lukuvi,mheshimiwa kuna pahala kunaitwa ruvu_vigwaza eneo la kwala kibaha vijijini ambapo mradi wa bandari kavu inajengwa,kwanza naipongeza serikali kwa huu mradi,sasa nirudi kwenye lengo,near na hili eneo ambalo mradi umepita serikali imeamuru serikali ya kijiji hapo kWala igawe viwanja bure kwa watu ili kuendelezwe kwa kufanya mradi uendane na kasi ya ukuaji wa mji,utaratibu ulianza vyema kwa serikali ya kijiju kutafuta watu na kuwaandikisha ila kwa ada za kulipia kujiunga na kijiji na ada zingine za maebdeleo,watu hawAkusita walilipa ada zote na kupewa risiti halali za serikali ya kijiji,watu Wakasubiri taratibu za ufyekaji umemalizika Na kuanza kupewa viwanja nakusimika mawe,sasa miongoni mwa makundi ya walijiandikisha kulikuWA na umoja wa vikoba[viguta] walichukuwa eneo kubwa tu na kuanza ujenzi wA nyumba nyingi tu kwa ufadhili wa benki then wawape wanachama wa viguta,masikitiko yangu eneo hilo sasa ni taflan nguo kuchanika,wanakijiji wameona nyumba zinatoka ktk eneo hilo lililokuwa pori kubwa msitu mnene,wanasema wapewe ardhi yao kwan hata wao wanaweza kuendeleza,mh natambua uchapakazi wako nadhani utalifanyia kazi hili,mana tunaenda kuzalisha mgogoro mwingine wa ardhi tz,ila ni kuwa makini na taarifa zao,mana wanakijiji walilishindwa eneo miaka na miaka sasa linaendelezwa wanalitaka,ahsante