Ukicheche na madhara yake.

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
100
127
Wengi tuna imani maswala ya mtoto wa kike au wa kiume kuwa malaya sana athari kubwa ni magonjwa..... hapana kwa mujibu wa babu mmoja na busara zake nimekaa nae leo anasema kwamba kitendo cha mke na mume kufanya mapenzi enzi zao walikuwa wanaamini ni kufanya agano, kama mwanaume kila unapofanya mapenzi na mwanamke kumbuka kama mikosi yake yote inaweza kukujia wew, so unapofanya na wengi zaidi ndio unavyozidi kujaza store yako ya mikosi hivyo hivyo kwa wanawake, akanipa mfano wa matajiri wakunbwa wenye pesa nyingi akasema wale ni nadra sana kumkuta anakuwa malaya anahofia mikosi..... na akasema moja ya uchawi mkubwa enzi zao kwa mwanamke alieeda kwa mganga kulalamikia ugumu wa maisha alikuwa anaambiwa tu achukue hela aipake pake kwenye uchi wake atakaeiokota lake hilo.

Tuwe makini sana jiulize ushazoa mikosi mingapi.
 
Tafuta hela uchape warembo na wewe Acha kujifariji. Kuna baraka vilevile kwa hao wenye mikosi
 
Back
Top Bottom